Skip to main content

Posts

Showing posts from November, 2022

Afrika CDC yataka mifumo thabiti ya afya ya jamii kukabiliana na mzigo wa magonjwa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Maradhi cha Af…

Afrika CDC yataka mifumo thabiti ya afya ya jamii kukabiliana na mzigo wa magonjwa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Maradhi cha Afrika (Africa CDC), kimetoa wito wa kuundwa kwa kundi la wafanyakazi wa afya ya jamii wanaofadhiliwa vya kutosha, waliofunzwa na kuhamasishwa ili kuzisaidia nchi za Afrika kukabiliana na mzigo unaoongezeka wa magonjwa. Ofisa mwandamizi wa Africa CDC Bibi Herilinda Temba amesema hayo kwenye warsha iliyofanyika mjini Mombasa, na kusisitiza kuwa uwekezaji katika mfumo thabiti wa afya ya jamii utaongeza uwezo wa bara la kutabiri, kutambua na kutibu magonjwa. Bibi Temba pia amesema kuajiri wafanyakazi wa ziada wa afya ya jamii pia kutaongeza ufufukaji baada ya janga la UVIKO-19 barani Afrika, ikiashiria kuwa wahudumu wa afya katika jamii wamekuwa wahusika muhimu katika kuongeza uelewa wa kupambana na magonjwa ya kuambukiza kama vile kifua kikuu na VVU/UKIMWI pamoja na kuwasaidia wagonjwa kufuata matumizi ya dawa za muda mrefu. The post Afrika CDC yataka mifumo ...

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: #Qatar2022 🏟️ Education City TUNISIA 🇹🇳 1-0 🇫🇷 UFARANSA ⚽ Khazri 58′ Tunisia wametupwa nje ya kombe la Dunia kishu…

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: #Qatar2022 Education City TUNISIA 1-0 UFARANSA Khazri 58′ Tunisia wametupwa nje ya kombe la Dunia kishujaa licha ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Ufaransa. Ufaransa ilipata bao la kusawazisha jioni kabisa lakini VAR ilibatilisha na kuipatia Ufaransa kipigo cha kwanza kwenye kombe la Dunia 2022. MSIMAMO KUNDI D 1⃣ Ufaransa: 6pts 2⃣ Australia: 6pts 3⃣ Tunisia: 4pts 4⃣ Denmark: 1pt #KitengeSports The post 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: #Qatar2022 🏟️ Education City TUNISIA 🇹🇳 1-0 🇫🇷 UFARANSA ⚽ Khazri 58′ Tunisia wametupwa nje ya kombe la Dunia kishu… appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/3ubBls5

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: #Qatar2022 🏟️ Education City TUNISIA 🇹🇳 1-0 🇫🇷 UFARANSA ⚽ Khazri 58′ Tunisia wametupwa nje ya kombe la Dunia kishu…

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: #Qatar2022 Education City TUNISIA 1-0 UFARANSA Khazri 58′ Tunisia wametupwa nje ya kombe la Dunia kishujaa licha ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Ufaransa. Ufaransa ilipata bao la kusawazisha jioni kabisa lakini VAR ilibatilisha na kuipatia Ufaransa kipigo cha kwanza kwenye kombe la Dunia 2022. MSIMAMO KUNDI D 1⃣ Ufaransa: 6pts 2⃣ Australia: 6pts 3⃣ Tunisia: 4pts 4⃣ Denmark: 1pt #KitengeSports The post 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: #Qatar2022 🏟️ Education City TUNISIA 🇹🇳 1-0 🇫🇷 UFARANSA ⚽ Khazri 58′ Tunisia wametupwa nje ya kombe la Dunia kishu… appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/63743/

Rais Xi Jinping akutana na mwenzake wa Laos Thongloun Sisoulith Rais Xi Jinping wa China amefanya mazungumzo na mwenzake wa Lao…

Rais Xi Jinping akutana na mwenzake wa Laos Thongloun Sisoulith Rais Xi Jinping wa China amefanya mazungumzo na mwenzake wa Laos Thongloun Sisoulith ambaye yuko ziarani nchini China. Kwenye mazungumzo yao marais hao wamefikia makubaliano mengi kuhusu uhusiano wa nchi zao na ujenzi wa Jumuiya yenye mustakbali wa Pamoja kati ya nchi hizo mbili. Pia amesema anapenda kushirikiana na mwenzake wa Laos katika kuongoza ujenzi wa Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kati ya China na Laos. Rais Thongloun Sisoulith amesema China ni nguzo muhimu ya kulinda amani na utulivu wa dunia, kuhimiza maendeleo ya pamoja ya binadamu wote na kujenga jumuiya ya binadamu yenye mustakbali wa pamoja hasa katika wakati huu ambapo mabadiliko makubwa yanashuhudiwa duniani. Amesema anaamini kuwa chini ya uongozi wa Kamati Kuu ya CPC inayoongozwa na Bw. Xi Jinping, kwa uhakika China itatekeleza kikamilifu maazimio ya Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama, kukamilisha majukumu mbalimbali yaliyowekwa katika mkutano huo na kuti...

MAJALIWA AZIDI KUMSAFISHIA NJIA RAIS SAMIA

MAJALIWA AZIDI KUMSAFISHIA NJIA RAIS SAMIA The post MAJALIWA AZIDI KUMSAFISHIA NJIA RAIS SAMIA appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/AqnmuEs

Muigizaji aliyeshiriki kwenye filamu maarufu za “Die Hard” na “Top Gun” Clarence Gilyard (66) amefariki Dunia. Kifo chake kimet…

Muigizaji aliyeshiriki kwenye filamu maarufu za “Die Hard” na “Top Gun” Clarence Gilyard (66) amefariki Dunia. Kifo chake kimetangazwa na Chuo Kikuu cha Nevada ambako hadi hivi karibuni alikuwa akifanya kazi kama Profesa wa filamu na uigizaji. Aliigiza kwenye filamu mbalimbali ikiwemo Die Hard (1988) akishirikiana na Bruce Willis na Alan Rickman, pia aliigiza Top Gun (1986) akiwa na Tom Cruise. Ameifanyia kazi sekta ya filamu na televisheni ya nchini Marekani kwa miaka zaidi ya 30 akiigiza, kuandika , kusimamia filamu na akifundisha uigizaji Chuo Kikuu. #KitengeUpdates The post Muigizaji aliyeshiriki kwenye filamu maarufu za “Die Hard” na “Top Gun” Clarence Gilyard (66) amefariki Dunia. Kifo chake kimet… appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/AqnmuEs

Mwanaharakati aliyevamia Uwanja wakati wa mechi kati ya Ureno na Uruguay hatochukuliwa hatua za kisheria bali anafukuzwa Qatar. …

Mwanaharakati aliyevamia Uwanja wakati wa mechi kati ya Ureno na Uruguay hatochukuliwa hatua za kisheria bali anafukuzwa Qatar. Mario Ferri (35) aliingia kwenye Uwanja wa Lusail Jumatatu huku akipunga bendera yenye rangi za upinde wa mvua akiwa amevaa tisheti ambayo kwa mbele iliandikwa “Okoa Ukraine” na kwa nyuma “Heshima kwa wanawake wa Iran”. Alikimbizwa na kukamatwa na maafisa wa Usalama. Kwa mujibu wa Kamati Kuu ya Kombe la Dunia 2022 kibali chake cha kuingia Qatar kimefutwa, na amefungiwa kutohudhuria mechi zingine katika Mashindano haya. Taarifa kutoka Italia zinasema Mario ni mwanasoka ambaye amekuwa akichezea timu mbalimbali. Ana historia ya kuvamia viwanja kwenye mechi, alifanya hivyo mwaka 2014 kwenye Kombe la Dunia nchini Brazil, wakati wa mechi kati ya Ubelgiji na Marekani na mwaka 2017 wakati Napoli ikicheza na Juventus. #KitengeSports The post Mwanaharakati aliyevamia Uwanja wakati wa mechi kati ya Ureno na Uruguay hatochukuliwa hatua za kisheria bali anafukuzwa...

22 kuiwakilisha Tanzania michezo ya wenye walemavu wa akili duniani

Na Norah Damian, Mtanzania Digital Wachezaji 22 wenye ulemavu wa akili wanatarajia kuiwakilisha Tanzania kwenye michezo ya Dunia inayotarajia kuanza Mei 13 hadi Juni 12, 2023 Berlin Ujerumani. Katika mashindano hayo Tanzania itawakilishwa na michezo miwili ambayo ni riadha na mpira wa wavu. Washiriki hao walipatikana kupitia mashindano ya Taifa yaliyofanyika jijini Mwanza Desemba 2021 ambapo mchezo wa riadha ulifanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba wakati wa soka na mpira wa wavu ilichezwa kwenye viwanja vya Sekondari ya Wavulana Bwiru. Akizungumza na Mtanzania Digital, Mkurugenzi wa Olimpiki Maalumu Tanzania, Charles Rays, amesema msafara huo pia utajumuisha makocha na wazazi wa watoto hao. Kwa mujibu wa mkurugenzi huyo, baadhi ya wachezaji watakaoiwakilisha Tanzania kwenye mashindano hayo ni Sheha Haji, Abdulrahman Shabani, Julius Francis, Uwesu Salim, Ally Nassor Juma, Duncan Anaclet, Emmanuel Chano na Mathias Makanyaga. Wengine ni Fatuma Hashim, Maimuna Juma Ally, Judith Mbil...

Bonnah kuja na mashindano ya soka kwa watu wenye ulemavu

Na Norah Damian, Mtanzania Digital Mbunge wa Jimbo la Segerea, Bonnah Kamoli, anatarajia kuandaa mashindano ya soka yatakayohusisha watu wenye ulemavu kwa lengo la kutafuta na kukuza vipaji mbalimbali kwa jamii hiyo. Mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwaka ujao baada ya kumalizika mashindano yaliyoandaliwa na mbunge huyo yanayohusisha watu wasio na ulemavu. Akizungumza na Mtanzania Digital, Bonnah amesema amekuwa na programu mbalimbali za kusaidia watu wenye ulemavu lakini hakuwahi kuandaa mashindano ya aina hiyo. “Natambua kwenye jimbo langu wako watu wenye ulemavu na tumekuwa na programu mbalimbali za kuwasaidia, wako ambao tumewagusa mmoja mmoja, kwenye vikundi na hata kupitia mfuko wa jimbo, kwa sababu binadamu wote ni sawa. “Naamini kupitia mashindano tutakayoyaandaa tutaibua na kukuza vipaji vya ndugu zetu wenye ulemavu, tunatambua michezo ni afya na michezo pia ni ajira hivyo, wanaweza kupata fursa mbalimbali,” amesema Bonnah. Naye Ofisa Elimu Maalumu ka...

Wavuvi Bukoba wapigwa msasa jinsi ya kukabilina na majanga

*Ni kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Na Renatha Kipaka, Bukoba Siku chache baada ya kutokea ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air mjini Bukoba na kuua watu 19 na majeruhi 24, baadhi ya wavuvi walioshiriki katika uokozi wamepigwa msasa. Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila akizungumza baada ya mafunzo hayo. Wavuvi hao ni kutoka katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera na wengine nikutoka Katika wilaya ya Misenyi ambao idadi yao ni 60. Mafunzo hayo yametolewa ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa la kujenga uwezo wa vikundi vya wavuvi walioshiriki katika shughuli ya uokoaji. Wakizungumza na Mtanzania Digital Novemba 28, mwaka huu mjini Bukoba mara baada ya mafunzohayo kwa vitendo wakiwa wamevalia maboya na baadhi ya vifaa vya kushika ndani ya Ziwa Victoria wamesema kuwa mafunzo hayo ni muhimu kwani yatawasaidia kukabiliana na majanga. Mkazi wa Nyamkazi, Beatus Mweyaga Mvuvi amesema, awali amekuwa anaogelea akiwa amevaa mavazi yake ya kawaida ambayo s...

Watu zaidi ya 20 wamezama maji katika mabwawa na mito huko Afrika Kusini ndani ya miezi miwili. Polisi wameeleza kuwa wamekuwa …

Watu zaidi ya 20 wamezama maji katika mabwawa na mito huko Afrika Kusini ndani ya miezi miwili. Polisi wameeleza kuwa wamekuwa wakipokea simu nyingi zikiripoti kuzama kwa watu katika wilaya tano za jimbo la Limpopo. Tangu Oktoba 20 hadi sasa, Polisi wamerekodi matukio 20 yaliyotokana na kuzama maji. Kwa mujibu wa Polisi mvua kubwa zinaweza kuwa zimesababisha kuinuka kwa viwango vya mabwawa na kusababisha mafuriko kwenye mito. #KitengeUpdates The post Watu zaidi ya 20 wamezama maji katika mabwawa na mito huko Afrika Kusini ndani ya miezi miwili. Polisi wameeleza kuwa wamekuwa … appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/63447/

SIMBA YAPANIA KUISHUSHA YANGA, WAZUNGU WAMUWEKEA FEI M 700

SIMBA yapania kuishusha Yanga, Wazungu wamuwekea Fei Toto 700 M ndani ya Spoti Xtra Jumanne The post SIMBA YAPANIA KUISHUSHA YANGA, WAZUNGU WAMUWEKEA FEI M 700 appeared first on Saleh Jembe . The post SIMBA YAPANIA KUISHUSHA YANGA, WAZUNGU WAMUWEKEA FEI M 700 appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/CxKWt7Y

WHO yabadilisha jina la homa ya nyani kuwa “mpox” ili kuepusha unyanyapaa Shirika la Afya Duniani (WHO) limependekeza kubadilis…

WHO yabadilisha jina la homa ya nyani kuwa “mpox” ili kuepusha unyanyapaa Shirika la Afya Duniani (WHO) limependekeza kubadilisha jina la homa ya nyani kuwa “mpox” ili kuepusha ubaguzi na unyanyapaa. Mabadiliko hayo yamekuja baada ya baadhi ya watu na nchi kueleza wasiwasi kwenye mikutano na kuitaka WHO kubadilisha jina la ugonjwa huo. Mwezi Julai WHO ilitangaza rasmi homa ya nyani ambayo imeenea katika nchi nyingi nje ya Afrika kuwa Dharura ya Kimataifa ya Afya ya Umma (PHEIC), ambayo ni tahadhari ya ngazi ya juu zaidi inayoweza kutolewa na shirika hilo. Kwa mujibu wa WHO hadi kufikia Jumamosi, nchi 110 zimeripoti maambukizi 81,107 ya homa ya nyani yaliyothibitishwa kimaabara na nyingine 1,526 yanayoshukiwa. The post WHO yabadilisha jina la homa ya nyani kuwa “mpox” ili kuepusha unyanyapaa Shirika la Afya Duniani (WHO) limependekeza kubadilis… appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/CxKWt7Y

WHO yabadilisha jina la homa ya nyani kuwa “mpox” ili kuepusha unyanyapaa Shirika la Afya Duniani (WHO) limependekeza kubadilis…

WHO yabadilisha jina la homa ya nyani kuwa “mpox” ili kuepusha unyanyapaa Shirika la Afya Duniani (WHO) limependekeza kubadilisha jina la homa ya nyani kuwa “mpox” ili kuepusha ubaguzi na unyanyapaa. Mabadiliko hayo yamekuja baada ya baadhi ya watu na nchi kueleza wasiwasi kwenye mikutano na kuitaka WHO kubadilisha jina la ugonjwa huo. Mwezi Julai WHO ilitangaza rasmi homa ya nyani ambayo imeenea katika nchi nyingi nje ya Afrika kuwa Dharura ya Kimataifa ya Afya ya Umma (PHEIC), ambayo ni tahadhari ya ngazi ya juu zaidi inayoweza kutolewa na shirika hilo. Kwa mujibu wa WHO hadi kufikia Jumamosi, nchi 110 zimeripoti maambukizi 81,107 ya homa ya nyani yaliyothibitishwa kimaabara na nyingine 1,526 yanayoshukiwa. The post WHO yabadilisha jina la homa ya nyani kuwa “mpox” ili kuepusha unyanyapaa Shirika la Afya Duniani (WHO) limependekeza kubadilis… appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/63441/

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: #Qatar2022 🏟️ Education City KOREA KUSINI 🇰🇷 2-3 🇬🇭 GHANA 58’Gue-Sung ⚽ Kang-In 🎯 61′ Gue-Sung ⚽ Jin-Su 🎯 24′ Salis…

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: #Qatar2022 Education City KOREA KUSINI 2-3 GHANA 58’Gue-Sung Kang-In 61′ Gue-Sung Jin-Su 24′ Salisu 34′ Kudus J Ayew 68′ Kudus Inaki Ghana wametutoa kimaso mason Waafrika kwa ushindi dhidi ya Korea Kusini. Gue-Sung Cho amekuwa mchezaji wa kwanza kutoka Korea Kusini kufunga magoli mawili kwenye kombe la Dunia. Mohammed Kudus amekuwa mchezaji wa kwanza kutoka Ghana kufunga magoli mawili kwenye kombe la Dunia. #KitengeSports The post 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: #Qatar2022 🏟️ Education City KOREA KUSINI 🇰🇷 2-3 🇬🇭 GHANA 58’Gue-Sung ⚽ Kang-In 🎯 61′ Gue-Sung ⚽ Jin-Su 🎯 24′ Salis… appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/CxKWt7Y