Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2022

Kesho Jumatano wananchi @yangasc watakuwa Dimba la Mkapa wakiwa na kazi moja tu ya kupata ushindi dhidi ya #ClubAfricain kutoka …

Kesho Jumatano wananchi @yangasc watakuwa Dimba la Mkapa wakiwa na kazi moja tu ya kupata ushindi dhidi ya #ClubAfricain kutoka Tunisia katika mechi ya mtoano kufuzu hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Mechi hii itapigwa kuanzia Saa 10:00 Jioni na kuruka mbashara kupitia #AzamSports1HD. Kwa Kifurushi cha shilingi 23,000 unatazama mchezo huu. #SisiNiSoka #Azammaxweb #CAFCC The post Kesho Jumatano wananchi @yangasc watakuwa Dimba la Mkapa wakiwa na kazi moja tu ya kupata ushindi dhidi ya #ClubAfricain kutoka … appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/jYkP60T

HESABU ZA YANGA KIMATAIFA NI KUANZA NA USHINDI

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa mpango kazi namba moja ni kuanza kupata ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain ya Tunisia. Kesho Novemba 2, Yanga ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa mtoano kuwania kufuzu hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Mchezo huo utachezwa Uwanja wa Mkapa kisha ule wa pili Yanga itakuwa ugenini nchini Tunisia kukamilisha kete ya pili. “Maandalizi yapo vizuri na kila mchezaji anajua kwamba mashabiki wanahitaji matokeo na benchi la ufundi linahitaji kuona tunapata kile ambacho tunastahili. “Kuna kazi kubwa inahitajika kufanyikakwa wachezaji ili kupata matokeo kwani kwenye hatua hizi kila timu inaigia uwanjani ikiwa inajiamini na malengo ni kupata ushindi,”. Nabi anafanya kazi kwa ushirikiano na msaidizi wake Cedrick Kaze. The post HESABU ZA YANGA KIMATAIFA NI KUANZA NA USHINDI appeared first on Saleh Jembe . The post HESABU ZA YANGA KIMATAIFA NI KUANZA NA USHINDI appeared first on soka...

HESABU ZA YANGA KIMATAIFA NI KUANZA NA USHINDI

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa mpango kazi namba moja ni kuanza kupata ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain ya Tunisia. Kesho Novemba 2, Yanga ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa mtoano kuwania kufuzu hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Mchezo huo utachezwa Uwanja wa Mkapa kisha ule wa pili Yanga itakuwa ugenini nchini Tunisia kukamilisha kete ya pili. “Maandalizi yapo vizuri na kila mchezaji anajua kwamba mashabiki wanahitaji matokeo na benchi la ufundi linahitaji kuona tunapata kile ambacho tunastahili. “Kuna kazi kubwa inahitajika kufanyikakwa wachezaji ili kupata matokeo kwani kwenye hatua hizi kila timu inaigia uwanjani ikiwa inajiamini na malengo ni kupata ushindi,”. Nabi anafanya kazi kwa ushirikiano na msaidizi wake Cedrick Kaze. The post HESABU ZA YANGA KIMATAIFA NI KUANZA NA USHINDI appeared first on Saleh Jembe . The post HESABU ZA YANGA KIMATAIFA NI KUANZA NA USHINDI appeared first on soka...

#NBCPL ‘Boli linatembea’ Majaliwa Stadium. HT: Namungo 1-1 Kagera LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBC…

#NBCPL ‘Boli linatembea’ Majaliwa Stadium. HT: Namungo 1-1 Kagera LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #NBCPL #SisiNiSoka #SokaLetuBambam #NamungoFC #KageraSugar #NamungoKagera The post #NBCPL ‘Boli linatembea’ Majaliwa Stadium. HT: Namungo 1-1 Kagera LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBC… appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/jYkP60T

#NBCPL ‘Boli linatembea’ Majaliwa Stadium. HT: Namungo 1-1 Kagera LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBC…

#NBCPL ‘Boli linatembea’ Majaliwa Stadium. HT: Namungo 1-1 Kagera LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #NBCPL #SisiNiSoka #SokaLetuBambam #NamungoFC #KageraSugar #NamungoKagera The post #NBCPL ‘Boli linatembea’ Majaliwa Stadium. HT: Namungo 1-1 Kagera LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBC… appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/58830/

#Ligue1UberEats Kule Ufaransa nako burudani bado inaendelea. FT: Lorient 1-2 Nice Inayofuata ni Lyon vs Lille saa 4:45 usiku…

#Ligue1UberEats Kule Ufaransa nako burudani bado inaendelea. FT: Lorient 1-2 Nice Inayofuata ni Lyon vs Lille saa 4:45 usiku LIVE #AzamSports3HD #Ligue1 #LigiKuuUfaransa #League1 #Lorient #OGCNice #LorientNice #FCLOGCN The post #Ligue1UberEats Kule Ufaransa nako burudani bado inaendelea. FT: Lorient 1-2 Nice Inayofuata ni Lyon vs Lille saa 4:45 usiku… appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/t9xUIOZ

Hersi: Makundi Shirikisho lazima

RAIS wa Yanga, Hersi Said amewahakikishia mashabiki, wanachama na wapenzi wa timu hiyo, itafuzu hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuitoa Club Africain ya Tunisia baada ya kukwama Ligi ya Mabingwa. The post Hersi: Makundi Shirikisho lazima appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/58745/

#NBCPL Takwimu za mchezo… FT: Simba 5-0 Mtibwa. #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #NBCPL #SisiNi…

#NBCPL Takwimu za mchezo… FT: Simba 5-0 Mtibwa. #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #NBCPL #SisiNiSoka #SokaLetuBambam #SimbaSC #MtibwaSugar #SimbaMtibwa The post #NBCPL Takwimu za mchezo… FT: Simba 5-0 Mtibwa. #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #NBCPL #SisiNi… appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/58738/

#Ligue1UberEats Kule Ufaransa nako burudani bado inaendelea. FT: Lorient 1-2 Nice Inayofuata ni Lyon vs Lille saa 4:45 usiku…

#Ligue1UberEats Kule Ufaransa nako burudani bado inaendelea. FT: Lorient 1-2 Nice Inayofuata ni Lyon vs Lille saa 4:45 usiku LIVE #AzamSports3HD #Ligue1 #LigiKuuUfaransa #League1 #Lorient #OGCNice #LorientNice #FCLOGCN The post #Ligue1UberEats Kule Ufaransa nako burudani bado inaendelea. FT: Lorient 1-2 Nice Inayofuata ni Lyon vs Lille saa 4:45 usiku… appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/58740/

TIKETI 10,000 MASHABIKI WA YANGA KUPEWA KUWAONA WAARABU

UONGOZI wa Yanga umetangaza kugawa bure tiketi 10,000 za mchezo wa Yanga dhidi ya Club Africain ya nchini Tunisia kwa mashabiki watakaochanja chanjo ya Uviko-19. Yanga wanatarajiwa kukutana na Club Africain Novemba 2 katika mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika kuwania kufuzu hatua ya makundi ya michuano hiyo, kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar.  CEO wa Yanga, Andre Mtine, amesema kuwa katika kuhakikisha kuwa wanaendelea kutoa elimu juu ya magonjwa ya Uviko-19, watatoa chanjo kwa mashabiki 10,000 ambao watachanjwa, hivyo jambo hilo kwao wanafanya kama sehemu ya kuelimisha jamii. “Ushirika wetu na UNICEF kuhusu Uviko-19 na virusi vya Ebola umeanza kazi rasmi ambapo tunatoa zawadi ya tiketi 10,000 kwa mashabiki ambao watachanja chanjo ya Uviko-19 kushuhudia mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Club Africain utakaochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 2 mwezi ujao,” amesema. Kwa upande wa Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema:“Kila mmoja wetu anafahamu madh...

SIMBA YAPIGA 5G, MTIBWA MAJANGA KADI NYEKUNDU ZAWAPONZA

KIUNGO wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba, Mzamiru Yassin amerejea na nyota kali kwa kuwa miongoni mwa waliofunga mabao kwenye mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa Sugar. Baada ya dakika 90 kukamilika, ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 5-0 Mtibwa Sugar na kuifanya Simba kusepa mazima na pointi tatu. Mzamiru alifungua pazia la mabao dakika ya 38 kisha mabao mawili yalifungwa na Pape Sakho dakika ya 48 na 90 huku Okra akifunga bao moja dakika ya 63 na Moses Phiri naye alitupia bao moja na kufikisha mabao matano. Ilikuwa siku mbaya kwa Mtibwa Sugar kwa wachezaji wawili kuonyeshwa kadi nyekundu alianza Pascal Kitenge kish nahodha Issa Rashid. Huu ni ushindi wa kwanza mkubwa kwa Simba chini ya Kocha Mkuu Juma Mgunda ndani ya ligi ambaye alitoka kupoteza kwa kufungwa bao 1-0dhidi ya Azam FC. Salum Mayanga, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kadi mbili nyekundu zimewavurugia mipango ya kusaka ushindi pamoja na kuumia kwa kipa namba moja Faroukh Shikalo. The post SIMBA YAPIGA 5G, MTIB...

MABAO MAKALI BONGO HAYA HAPA

MABAO mengi yamefungwa mazuri na makali ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 hapa ni baadhi ya mabao makali Bongo namna hii The post MABAO MAKALI BONGO HAYA HAPA appeared first on Saleh Jembe . The post MABAO MAKALI BONGO HAYA HAPA appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/YmEBZ6J

RAIS YANGA AWAPA UHAKIKA KUTINGA MAKUNDI KIMATAIFA

RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said amesema kuwa wanaimani ya timu hiyo kukamilisha mpango wa kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Novemba 2,2022 Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain ya Tunisia, Uwanja wa Mkapa. Injinia amesema:”Nataka niwahakikishie tutasonga mbele kwenda hatua ya makundi, siyo jambo baya kuumia kwa kitu unachokipenda lakini usiipende Yanga kisa inashinda ikifungwa siyo yako,” . Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa wana wachezaji wazuri na imani ni kufanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa na ligi. Yanga imeangukia kwenye Kombe la Shirikisho Afrika baada ya mpango wa kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kukwama. Iliondolewa kwa jumla ya mabao 2-1 Al Hilal ya Sudan na sasa inaendelea kupeperusha bendera ya Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. The post RAIS YANGA AWAPA UHAKIKA KUTINGA MAKUNDI KIMATAIFA appeared f...

WAARABU WAMBEBA MAYELE, BOSI SIMBA AMKINGIA KIFUA MGUNDA

WAARABU wambeba Mayele, Bosi Simba amkingia kifua Mgunda ndani ya Spoti Xtra Jumapili The post WAARABU WAMBEBA MAYELE, BOSI SIMBA AMKINGIA KIFUA MGUNDA appeared first on Saleh Jembe . The post WAARABU WAMBEBA MAYELE, BOSI SIMBA AMKINGIA KIFUA MGUNDA appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/YmEBZ6J

#Bundesliga Pointi tatu muhimu kwa ‘Black & Yellow’. FT: Frankfurt 1-2 Dortmund Burudani itaendelea kesho LIVE #AzamSports2HD…

#Bundesliga Pointi tatu muhimu kwa ‘Black & Yellow’. FT: Frankfurt 1-2 Dortmund Burudani itaendelea kesho LIVE #AzamSports2HD #LigiKuuYaUjerumani #Bundesliga #EintrachtFrankfurt #BorussiaDortmund #FrankfurtDortmund #SGEBVB The post #Bundesliga Pointi tatu muhimu kwa ‘Black & Yellow’. FT: Frankfurt 1-2 Dortmund Burudani itaendelea kesho LIVE #AzamSports2HD… appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/58634/

#Bundesliga Pointi tatu muhimu kwa ‘Black & Yellow’. FT: Frankfurt 1-2 Dortmund Burudani itaendelea kesho LIVE #AzamSports2HD…

#Bundesliga Pointi tatu muhimu kwa ‘Black & Yellow’. FT: Frankfurt 1-2 Dortmund Burudani itaendelea kesho LIVE #AzamSports2HD #LigiKuuYaUjerumani #Bundesliga #EintrachtFrankfurt #BorussiaDortmund #FrankfurtDortmund #SGEBVB The post #Bundesliga Pointi tatu muhimu kwa ‘Black & Yellow’. FT: Frankfurt 1-2 Dortmund Burudani itaendelea kesho LIVE #AzamSports2HD… appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/YmEBZ6J

Kiungo wa Chelsea Kuondoka Klabuni Bure, Barca Yamnyemelea

The post Kiungo wa Chelsea Kuondoka Klabuni Bure, Barca Yamnyemelea appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/58559/

MAJIYASHINGO TMTHILIA SWAHILI YA TAREHE 28/09/2022

https://www.tamthiliaswahili.com/wp-content/uploads/2022/10/WhatsApp-Video-2022-10-28-at-10.09.45-PM.mp4 The post MAJIYASHINGO TMTHILIA SWAHILI YA TAREHE 28/09/2022 appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/YmEBZ6J

MAJIYASHINGO TMTHILIA SWAHILI YA TAREHE 28/09/2022

https://www.tamthiliaswahili.com/wp-content/uploads/2022/10/WhatsApp-Video-2022-10-28-at-10.09.45-PM.mp4 The post MAJIYASHINGO TMTHILIA SWAHILI YA TAREHE 28/09/2022 appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/58552/

MORRISON KUIVAA GEITA GOLD? Nyota wa Yanga SC, Bernard Morrison amemaliza adhabu yake ya kutocheza mechi tatu za NBC Premier Lea…

MORRISON KUIVAA GEITA GOLD? Nyota wa Yanga SC, Bernard Morrison amemaliza adhabu yake ya kutocheza mechi tatu za NBC Premier League ambayo ilianza Septemba 22, 2022. Morrison alipewa adhabu hiyo kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi Lusajo Mwaikenda wa Azam FC kwenye mechi ya Septemba 6, iliyomalizika kwa sare ya 2-2 katika dimba la Benjamin Mkapa. Tayari mchezaji huyo ametua jijini Mwanza akiwa katika msafara wa #Wananchi ulioondoka mapema leo. Je, kesho ‘atakiwasha’ katika dimba la CCM Kirumba dhidi ya Geita Gold? Mechi saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #NBCPL #SisiNiSoka #SokaLetuBambam The post MORRISON KUIVAA GEITA GOLD? Nyota wa Yanga SC, Bernard Morrison amemaliza adhabu yake ya kutocheza mechi tatu za NBC Premier Lea… appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/58543/

GEITA GOLD vs YANGA SC “Tumejiandaa kwaajili ya ligi nzima, hatujajiandaa kwaajili ya Yanga” maneno ya kocha msaidizi wa Geita G…

GEITA GOLD vs YANGA SC “Tumejiandaa kwaajili ya ligi nzima, hatujajiandaa kwaajili ya Yanga” maneno ya kocha msaidizi wa Geita Gold, Mathias Wandiba akizungumzia mchezo wao wa kesho dhidi ya Yanga SC, katika dimba la CCM Kirumba Mwanza. Mechi saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #NBCPL #SisiNiSoka #SokaLetuBambam The post GEITA GOLD vs YANGA SC “Tumejiandaa kwaajili ya ligi nzima, hatujajiandaa kwaajili ya Yanga” maneno ya kocha msaidizi wa Geita G… appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/58545/

Simba Yaonja Uchungu wa Mwiko, Yapigwa na Azam Uwanja wa Mkapa

Simba Yaonja Uchungu wa Mwiko, Yapigwa na Azam Uwanja wa Mkapa October 28, 2022 by Global Publishers SIMBA chini ya kocha mkuu wa muda, Juma Mgunda, ilikuwa imejipa mwiko kuwa haitapoteza mechi yoyote msimu huu kirahisi, lakini jana Azam FC wamevunja mwiko huo. Katika mchezo huo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam, Simba ilikumbana na kipigo cha bao 1-0 na kubaki nyuma kwa tofauti ya pointi tatu dhidi ya mabingwa watetezi Yanga wanaokamata nafasi ya kwanza. Simba ilikuwa na majeruhi kibao kuelekea mchezo huo ambapo Sadio Kanoute hakuwepo pamoja na Mzamiru Yassin, Shomari Kapombe ambao kutokana na matatizo ya majeraha na kadi waliikosa mechi hiyo. Bao pekee la Azam FC katika mchezo huo lilifungwa na Prince Dube dakika ya 34 akitumia vizuri makosa ya safu ya ulinzi ya Simba kuiadhibu Simba nzima. Habib Kyombo atajilaumu mwenyewe kwa kukosa nafasi mbili za wazi dakika ya 13 na 44 katika mchezo huo. Matokeo hayo yanaifanya Simba ibaki na...