Watu zaidi ya 20 wamezama maji katika mabwawa na mito huko Afrika Kusini ndani ya miezi miwili. Polisi wameeleza kuwa wamekuwa …
Watu zaidi ya 20 wamezama maji katika mabwawa na mito huko Afrika Kusini ndani ya miezi miwili.
Polisi wameeleza kuwa wamekuwa wakipokea simu nyingi zikiripoti kuzama kwa watu katika wilaya tano za jimbo la Limpopo.
Tangu Oktoba 20 hadi sasa, Polisi wamerekodi matukio 20 yaliyotokana na kuzama maji. Kwa mujibu wa Polisi mvua kubwa zinaweza kuwa zimesababisha kuinuka kwa viwango vya mabwawa na kusababisha mafuriko kwenye mito.
#KitengeUpdates

The post Watu zaidi ya 20 wamezama maji katika mabwawa na mito huko Afrika Kusini ndani ya miezi miwili. Polisi wameeleza kuwa wamekuwa … appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/63447/
Comments
Post a Comment