Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2023

Bunge kupokea Muswada wa Sheria ya Habari

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kuwa macho na masikio ya wadau wa habari nchini, yanaelekezwa jijini Dodoma kusubiri muswada wa Sheri ya Habari ukisomwa kwa mara ya kwanza Januari hii. Mwenyekiti wa Jukuwaa la Wahariri Tanzania(TEF), Deodatus Balile. Hayo yamebainishwa mapema leo Alhamisi Januari 19, 2023 jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile ambapo amesema kuwa hatua iliyofikiwa ni nzuri na maelekezo ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan yanatekelezwa na shauku kubwa ya wadau wa habari nikuona muswada huo ukiwasilishwa bungeni Januari hii. “Wiki hii tunarajia kwamba Wizara ya habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari itawasilisha muswada wa huduma za habari bungeni na utajadiliwa na Mungu akipenda mwezi Febuari utakua umepitishwa kuwa sheria na tumeona kwamba mwelekeo ni mzuri. “Hivyo, TEF pamoja na wadau wote wa habari tunatarajia kwamba mambo yatakwenda vizuri endapo muswada huo utaingia bungeni na kusomwa kw...

Expanse Studio na Meridianbet Kuleta Chuma Kipya Mjini

Wiki chache tu baada ya kuzindua michezo yao ya hivi karibuni – Wild White Whale na Zombie Apocalypse hatimaye sasa Expanse Studio inakuja Tanzania, kuonyesha bidhaa yake mpya ya hivi karibuni katika kituo cha BR21 ya Sigma Africa 2023, kuanzia tarehe 16 hadi 19 Januari. Sigma Africa , maonyesho makubwa zaidi ya kihistoria, huleta pamoja wasimamizi wa michezo ya kubahatisha, wataalamu wa hisani, wasimamizi ulimwenguni kote ili kutathimini maendeleo ya hivi karibuni katika tasnia. Maonyesho hayo yatasaidia kuchangamsha zama hizi za kusisimua kwa kuwa kama kiunganishi kwa watu wenye akili timamu zaidi katika bara la Afrika, sekta ya kamari na michezo ya kubahatisha inapaswa kushirikiana na maelfu ya wageni kutoka mabara mengine. Ikiwa na zaidi ya vitabu 30 vya michezo vilivyoidhinishwa nchini humo, Kenya ni soko la tatu kwa ukubwa wa michezo ya kubahatisha katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Expanse Studio ilianzishwa mwaka wa 2017 na maveterani wa tasnia kwa lengo la kule...

Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere wafikia asilimia 80.2

Na Mwandishi Wetu,Mtanzania Digital NAIBU Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato, amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha umeme wa kiasi cha megawati 2,115  umefikia asilimia 80.2. Naibu Waziri Byabato ameyasema hayo Januari 17, 2023, wakati Wizara ya Nishati ikitoa taarifa ya utekelezaji wa mradi huo kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini jijini Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe.Dunstan Kitandula (mbele, kushoto) akizungumza baada ya Wizara ya Nishati kutoa taarifa ya utekelezaji wa mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kwa Wajumbe wa Kamati hiyo jijini Dodoma. “Kwa sasa utekelezaji wa mradi unaenda kwa kasi  ambapo hadi kufikia Desemba 31, 2022 umefikia asilimia 80.22, aidha mnamo Desemba 22, 2022 zoezi la kuanza kujaza maji katika bwawa la JNHPP lilifanyika kwa kufunga mageti ya njia ya mchepusho,” amesema Byabato. Kuhusu kazi ya ujazaji maji katika Bwawa la...

Tanzania, Kenya zajadili ushirikiano Sekta ya Umeme na Gesi

Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAZIRI wa Nishati, January Makamba pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Isaac Njenga wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa Tanzania na Kenya katika Sekta ya Umeme na Gesi. Mazungumzo hayo yamefanyika Januari 18, 2023 jijini Dodoma ambapo viongozi hao walizungumzia ushirikiano katika kuendeleza nishati ya Jotoardhi, Jua, Upepo pamoja na mradi ya usafirishaji Gesi, usafirishaji umeme na usambazaji umeme vijijini. Waziri wa Nishati, January Makamba (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mhe.Isaac Njenga (kulia) mara baada ya kufika katika Ofisi za Wizara ya Nishati jijini Dodoma ili kuzungumza masuala yanayohusu ushirikiano wa Tanzania na Kenya katika Sekta ya Gesi na Umeme. Waziri wa Nishati, January Makamba amemueleza Balozi Njenga kuwa, Tanzania ipo tayari kuendeleza ushirikiano na Kenya katika Sekta ya Gesi na Umeme kwani nchi hizo tayari zina ushirikiano kwenye sekta mbalimbali ikiwemo miundombinu ya barabara na a...

 Milan Derby Odds Bomba Meridianbet.

Ukiachana na burudani za soka ulaya, utamu mwingine utakuwa kwenye Milan Derby kati ya AC Milan dhidi ya Inter Milan ni mashindano ya Supercoppa Italiana. Lakini pia kuna mechi za Copa del Rey, Coppa Italia na EPL zote zitaendelea tena wiki hii, kumbuka Odds kubwa unazipata Meridianbet. Ukubwa wa mechi hii sio tu kwa wingi wa mashabiki wanaoingia uwanjani, habari nyingi kuandikwa vyote havitoshi kubwa Zaidi ni kwamba ukubwa wa mechi hii ya Milan Derby ina Odds bomba na kubwa Meridianbet, machaguo ya kubashiri nayo ni mengi ushindwe wewe tu. AC Milan ana 2.79 ushindi, sare ina 3.23 na ushindi kwa Inter ni 2.45. kila timu ina nafasi ya kushinda, weka ubashiri wako. Mechi za Copa del Rey siku ya Alhamis ni kati ya Sporting Gijon vs Valencia ushindi kwenye mechi huu unanogeshwa na machaguo kibao ya Meridianbet, odds bomba na kubwa za ushindi Valencia 2.11 vs 3.18 kwa Sporting Gijon. Atletico Madrid watakuwa wagane wa Levante kwenye dimba la Estadi Ciutat de València katika mji wa Va...

GGML yaongeza udhamini kwa Geita Gold FC msimu wa 2022/2023

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeongeza mkataba wa udhamini kwa Klabu ya Geita Gold Football Club (GGFC) wenye thamani ya  Sh milioni 800 kuanzia tarehe 16 Desemba 2022. GGML ilipata haki ya kipekee kama wadhamini wakuu wa Klabu kwa mechi na matukio yote yanayohusiana na Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022-2023 (NBC Premier League) kwa mujibu wa makubaliano hayo. Katika msimu wa 2020/21, Klabu ya Geita Gold FC ilitimiza malengo kadhaa ikiwa ni pamoja na kushiriki katika mechi za kimataifa. Geita Gold, iliyokuwa ikishiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, ilipata mafanikio hayo kwa mara ya kwanza baada ya kushika nafasi ya nne kwenye Ligi Kuu ya NBC msimu uliopita. Katika hafla ya utiaji saini iliyofanyika hivi karibuni kwenye Makao makuu ya Halmashauri ya Mji wa Geita, Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong alisema kuwa makubaliano hayo yameifanya GGML kuwa wadhamini wakuu wa klabu ya Geita Gold Football Club. “Ms...

Meridianbet Yatoa Neema kwa Wanawake Walemavu

Meridianbet Januari 16 2023, ilifunga safari moja kwa moja hadi mkoa wa Pwani wakiambiatana na timu nzima ya Masoko ikiongozwa na Meneja masoko na Mawasiliano Matina Nkurlu kwaajili ya kuwashika mkono wanawake walemavu. Safari hiyo iliambatana na kutoa vifaa vya elektroniki (Kompyuta) ambayo inaweza kuwasaidia katika matumizi yao ya kila siku ya kuhifadhi data zao muhimu, Vyakula kama Sukari, Unga, mchele pamoja na mafuta ambavyo hivyo vyote vitawasaidia katika matumizi yao ya hapa na pale. Katika kuwashika mkono Meridianbet iliona kuwa Jukwaa la wanawake na wasichana huko Pwani lilikuwa na uhitaji mkubwa sana wa vitu hivyo ndipo walipoguswa na kuanza safari ya kuelekea katika ofisi yao. Moja kwa moja walikutana na Mwenyekiti wa jukwaa ambaye ni Mama Happyness ambaye alisema; “Niwashukuru Meridianbet kwa kututembelea na kutuletea vitu kama Mafuta ya kupikia, sukari, Unga, Kompyuta na Mchele ambao utatusaidia kwa mahitaji yetu ya nyumbani”  Na pia alisisitiza kuwa Meridianbet...

Shinda Mkwanja Na Promosheni ya Winter Slot Adventure!

Cheza kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Kamilisha Januari yako na moja ya Sloti ya kasino nzuri zaidi Meridianbet, Winter Slot Adventure inayokupa nafasi ya kushinda zawadi ya bonasi kubwa kwa dau dogo sana la kuanzia TZS 250/= Winter Slot Adventure inakusubiri kuanzia tarehe 16 Januari 2023 mpaka tarehe 25 Januari 2023! Zawadi ya TZS 7,500,000 si ya kukosa! Shindana katika mizunguko itakayochezwa, kwa kila mzunguko utajipatia pointi 1. Fanya uwezavyo kushinda, kwasababu zawadi zinakusubiri. Bingwa atajikusanyia kitita cha TZS 2,500,000, nafasi ya 2 TZS 1,700,000, nafasi ya 3 TZS 1,000,000, nafasi ya 4 na 5 TZS 700,000 kila mmoja huku zawadi zikitolewa mpaka nafasi ya 15. Jinsi ya Kushiriki Winter Slot Adventure Promosheni ya Winter Slot Adventure itaanza tarehe 16 January 2023 saa 00:00h CET mpaka tarehe 25 January 2023 saa 11:59 p.m CET. Promosheni itafanyika katika mtindo wa mashindano (madogo) ya wachezaji katika michezo iliyochaguliwa na mtoa huduma wa Microgaming: Gold...

Blackjack live kasino ya mtandaoni ya meridianbet!

Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa. Mchezo wa Blackjack Live     Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakuletea mchezo bomba wa Blackjack Live unaopatikana mubashara ukiwa umetengenezwa na watenganezaji maarufu wa michezo ya kasino, Expanse Studios . Blackjack Live ni mchezo wenye maudhui na sheria zaUlayaunaochezeshwa mubashara kwakutumia  kibunda chenye karata 8. Mchezo wa Blackjack Live ni mchezo unaopendwa na kuchezwa sana ulimwenguni. Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia burudani na ushindi kupitia Blackjack Live huku ukiwa na fursa ya faida hadi mara 100:1 ya dau uliloliweka. Jinsi ya Kucheza Blackjack Live Unachotakiwa kukifanya ni kubashiri karata gani mchezeshaji ( dealer ) ataiweka mezani na kuifunua. Tofauti ya Blackjack Live na Blackjack nyingine ni kwamba, hii ina bunda lenye karata 8 na sio 52. Vilevile, mchezo huu unachezwa mubashara kabisa kutoka kwenye studio za Riga . Kuwa makini na mchezeshaji wa Blackjack kw...

JKCI Dar Group ni kwa ajili ya matibabu ya watoto-Ummy

Na Faraja Masinde, Mtanzania Digital Serikali imesema Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kituo cha Dar Group (JKCI Dar Group) iliyopo Tazara jijini Dar es Salaam itahudumia watoto wenye matatizo ya moyo wenye umri chini ya miaka 15. Agizo hilo la Serikali limetolewa leo Januari 14, 2023 na Waziri wa Afya,Ummy Mwalimu alipotembelea Hospitali hiyo ambayo sasa ipo chini ya usimamizi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam. Waziri Ummy alitoa uamuzi huo baada ya awali, Mkurugenzi wa Taasisi hiyo, Dk. Peter Kisenge la kutaka kukifanya kituo hicho kuwa kubobea katika utoaji wa huduma tofautitofauti za afya kwa wananchi wa rika zote. “Nimesikiliza mapendekezo ya Mkurugenzi wa JKCI, Dk. Kisenge lakini hapa nataka tujikite kwenye matibabu ya moyo kwa watoto walio chini ya miaka 15 tusitoke kwenye huduma ya moyo kama ilivyokuwa malengo ya Taasisi ya Moyo JKCI. “Rufaa zote za watoto wenye matatizo ya moyo zinatakiwa kuja hapa JKCI Dar Group badala ya Taasisi ya ...

Bodi ya Pamba yawapiga tafu wakulima wa pamba Simiyu

Na Derick Milton, Itilima Zaidi ya wakulima 1,500 kutoka Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, wamepatiwa pembejeo mbalimbali za kilimo kwa ajili ya zao la Pamba vikwemo vinyunyuzi dawa, pamoja na dawa sumu lengo likiwa kupamba na wadudu wanaoshambulia zao hilo wakiwemo funza. Pembejeo hizo zimetolewa na Bodi ya pamba, ambapo wakulima wengi waliopatiwa ni wale wenye mashamba makubwa kuanzia hekari tano na zaidi, huku bodi hiyo ikibainisha kuwa wamejipanga kuhakikisha wakulima wote wanapata viuatilifu vya kutosha. Katika zoezi la ugawaji wa pembejeo hizo Mkaguzi wa Pamba kutoka Bodi ya Pamba Tanzania (TCB), Said Itaso amesema kuwa, bodi ya pamba imelenga kuhakikisha katika msimu wa mwaka huu wakulima wanajikwamua kiuchumi kupitia zao hilo. Amesema kuwa malengo bodi katika msimu wa mwaka huu ni kuzalisha pamba tani Milioni moja nchi nzima, huku mkoa wa Simiyu pekee malengo yakiwa ni kuzalisha tani 500,000 (laki tano). “Kama nchi tunalengo la kuzalisha tani milioni moja huku mkoa wa Simi...

Wikiendi ya dabi kubwa na Odds nono!

Meridianbet – Bashiri Popote, Wakati Wowote! Hii ni wiki ya washindi kama ukiichagua Meridiabet. Odds nono na machaguo kedekede yanapatikana huku! Zaidi ya michezo 1000 kuchezwa wiki hii, ni fursa ya kutengeneza mamilioni ya pesa. Kubwa zaidi, ni muendelezo wa Ligi ya Mbalimbali EPL, La Liga, Serie A, Ligue 1 na nyingine kibao . Mchongo upo hivi; Dabi ya Italia ( Il derby d’Italia) inawakutanisha Napoli dhidi ya Juventus katika dimba la Diego Armando Maradona leo Ijumaa. Napoli anaongoza Ligi kuu y aItalia akiwa amepoteza mchezo mmoja pekee msimu huu, wakati Juventus akiwa amepoteza mechi 2 mpaka sasa. Napoli hawajapoteza mchezo wakiwa nyumbani dhidi ya Juventus tangu mwaka 2019. Odds ya 2.01 Napoli kushinda inaweza kuboost mkeka wako! Pale EPL inapigwa Dabi ya Manchester mapema kabisa siku ya Jumamosi, Manchester United watakuwa wenyeji wa Manchester City kwenye dimba la Old Traford. Vita ya mahasimu hawa waliokatika nafasi ya 2 na 4 inazidi kuchochewa na ubora wa timu hiz...

Serikali yatoa msaada kwa waathirika wa mafuriko Mbeya

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Serikali upitia Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu imetoa msaada kwa wananchi walioathirika na mafuriko ya maji mkoani Mbeya, yaliyosabisha nyumba kubomoka, kuharibika kwa vifaa, vyakula, uharibifu wa mifugo na mazao yaliyoko shambani. Msaada huo ni magodoro 300 kwa kuanzia, mablanketi 1,200 ya wakubwa na wadogo, mikeka 600, madumu ya maji, sufuria bakuli sahani na vijiko kwa kila familia ambayo imeathirika. Msaada huo umekabidhiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, George Simbachawene alipotembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko hayo katika kata saba mkoani Mbeya kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Januari 7, mwaka huu, “Kwa mujibu wa sheria no. 6 ya Maafa ya Mwaka 2022 sisi Ofisi ya Waziri Mkuu tunayo dhamana ya kuwaunganisha wadau ili kuwasaidia watu walioathirika na tutafanya hivyo kwa kutumia ofisi zetu za mkoa na wilaya, naomba wadau wote wa ndani na nje ya mkoa wa Mbeya kutusaidia ili kuhakikisha wat...

Kairuki amuagiza RC Pwani kufuatilia ufunishaji kwa walimu

Na Gustafu Haule,Pwani WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Angela Kairuki amemwagiza Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge pamoja na Wakuu wa Wilaya kuhakikisha wanafuatilia ufundishaji wa walimu ili kuweza kuboresha elimu . Pamoja na hilo amewataka viongozi hao kushughulikia changamoto na kero za walimu hususan katika kuwalipa stahiki zao ikiwemo fedha za malimbizo ya mishahara na madeni mbalimba ili waweze kufanya kazi zao kwa umahiri . Waziri Kairuki ametoa maagizo hayo Januri 10, 2023 katika kikao kazi cha mapitio ya tathimini ya utekelezaji wa shughuli za uboreshaji na usimamizi wa elimu kwa mwaka 2022 na mpango wa mwaka 2023 kilichofanyika katika viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha. Katika kikao hicho kilichowakutanisha maafisa mbalimbali wa elimu kutoka wilaya zote za Mkoa wa Pwani, Wakurugenzi wa Halmashauri, maafisa elimu Kata, wakuu wa shule na viongozi wengine kilikuwa na lengo la kukumbushana namna ya kuboresha elimu ya Msi...