azima usiku tu mnaweza fanya hata asubuhi au mchana) au sehemu tofauti na ile mliyozoea (si kila siku kitandani) Kupata ushauri nasaha kutoka kwa wataalamu wa mambo ya uhusiano na ndoa ( marriage counsellors ) na hata madaktari wa magonjwa ya akili kwani wao ni weledi zaidi katika masuala haya Tiba kwa kutumia dawa Iwapo ugonjwa ambao ni kiini cha tatizo hili unafahamika kwa mfano kisukari, magonjwa ya moyo, au magonjwa ya zinaa, unafahamika, ni vema utibiwe ipasavyo Daktari kumbadilishia mhusika dawa zinazoleta madhara kama ya msongo wa mawazo, shinikizo la damu au za saratani n.k. Kutibu tatizo la msongo wa mawazo ( depression ) na hali ya kuwa na hofu na mhemko ( anxiety ) Kwa wanawake wanaopata maumivu wakati wa kujamiana au wenye sehemu za siri zilizo kavu (dryness of vagina) au zenye kuwasha (irritation), wanashauriwa kutumia dawa au jelly ( vaginal lubricants ) zinazolainisha maeneo hayo wakati wa tendo hilo Tiba ya homoni yaani Estrogen Replacement Therapy (ER...