Katika ukumbi wa Mlimani City, leo Ijumaa patakuwa hapatoshi, vitasa vitapigwa mwanzo mwisho mabondia kutoka mataifa sita watak…
Katika ukumbi wa Mlimani City, leo Ijumaa patakuwa hapatoshi, vitasa vitapigwa mwanzo mwisho mabondia kutoka mataifa sita watakuwa ulingo mmoja. Pambano kuu ni Ibrahim Class kuzichapa na Alan Pina kutoka Mexico. Kwa kifurushi cha shilingi 23,000 unatazama mbashara Usiku huu Vitasa kupitia #AzamSports1HD kuanzia saa 12:00 Jioni. #Vitasa #Azamtvsport #Azammaxweb The post Katika ukumbi wa Mlimani City, leo Ijumaa patakuwa hapatoshi, vitasa vitapigwa mwanzo mwisho mabondia kutoka mataifa sita watak… appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/56146/