π πππ ππππ: #Qatar2022 π️ Education City TUNISIA πΉπ³ 1-0 π«π· UFARANSA ⚽ Khazri 58′ Tunisia wametupwa nje ya kombe la Dunia kishu…
π πππ ππππ: #Qatar2022
Education City
TUNISIA
1-0
UFARANSA
Khazri 58′
Tunisia wametupwa nje ya kombe la Dunia kishujaa licha ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Ufaransa.
Ufaransa ilipata bao la kusawazisha jioni kabisa lakini VAR ilibatilisha na kuipatia Ufaransa kipigo cha kwanza kwenye kombe la Dunia 2022.
MSIMAMO KUNDI D
1⃣
Ufaransa: 6pts
2⃣
Australia: 6pts
3⃣
Tunisia: 4pts
4⃣
Denmark: 1pt
#KitengeSports

The post π
πππ ππππ: #Qatar2022 π️ Education City TUNISIA πΉπ³ 1-0 π«π· UFARANSA
⚽ Khazri 58′ Tunisia wametupwa nje ya kombe la Dunia kishu… appeared first on soka letu.
Comments
Post a Comment