Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2022

Mjue Mtunzi; Upande wa pili wa Watunzi wa Riwaya nchini

Na Joseph Shaluwa SANAA ya filamu na muziki wa kizazi kipya ni miongoni mwa sanaa zenye nguvu na zinazojulikana na wengi zaidi hapa nchini. Ukimtaja Ali Kiba, Diamond, Ray, Jux, Zuchu, JB, Kajala, Wolper na majina kama hayo yanajulikana kwa kasi zaidi. Lakini kuna upande wa pili wa utanzu wa Fasihi Andishi, ambapo humu kuna vichwa vingi vinavyofanya vema kwenye medali hiyo. Isivyo bahati thamani na heshima yao haikuzwi au haiwekwi kwenye mzani unaotakiwa katika jamii. Joseph Shaluwa. Kwa uchache ukiambiwa utaje majina ya watunzi wa riwaya wa kizazi cha sasa, huwezi kuacha majina kama David Shalali, Hafidh Kido, Wilbard Makene, Hussein Molito, Hassan Ally, Hassan Mboneche na  Joseph Shaluwa. Hawa ni baadhi tu ya watunzi wa kizazi cha sasa ambao wapo kwenye Umoja wa Riwaya Wenye Dira Tanzania (UWARIDI), umoja ambao upo chini ya Rais wake, Hussein Tuwa ‘Bingwa wa Taharuki’. Katika kutafuta thamani yao kama waandishi ndipo UWARIDI ikabuni Tamasha la Mjue Mtunzi, ambalo lengo lak...

Kafulila aagiza waliotafuna fedha za makusanyo ya Halmashauri wasakwe

Na Derick Milton, Simiyu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila ameagiza kusakwa na kuwekwa ndani watu wote ambao wanadaiwa kuhusika katika upotevu wa kiasi cha Sh milioni 38 za makusanyo ya ushuru kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Kafulila ametaka kila mtu ambaye amehusika kwenye upotevu wa fedha hizo, akamatwe kisha awekwe ndani na atatoka mara baada ya kurejesha kiasi ambacho anadaiwa na halmashauri. Uamuzi wa Mkuu huyo wa mkoa umekua kufuatia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa halmashauri hiyo, kuonyesha kuna kiasi cha Sh milioni 38 zilikusanywa kupitia mashine za kukusanya ushuru za elektroniki (POS) lakini hazikupelekwa benki. Kafulila amesema kitendo cha watu hao kushindwa kuwasilisha pesa hizo ambazo walikusanya kupitia mashine hizo ni kitendo cha wizi, hivyo lazima hatua kali zichukuliwe na pesa hizo zirekeshwe haraka iwezekanavyo. “Huu ni wizi kama wizi mwingine, naagiza hapa RPC kesho kutwa nipewe taarifa kuwa watu wote ambao wanah...

Wabunifu 30 kuchuana Stara Fashion Week

Na Jeremia Ernest, Mtanzania Digital WABUNIFU wa mavazi 30 wanatarajiwa kuchuana vikali katika jukwaa moja la Stara Fashion Week, kwa kuonyesha kazi zao kuanzia June 1 hadi 2 katika ukumbi Le Maraheb Masaki jijin Dar es Salaam. Huu ni msimu wa nne wa tamasha hili ambao utakutanisha wabunifu kutoka sehemu mbalimbli ndani ya nchi na nje ya Tanzania kuonyeshaa umahiri wao katika mavazi yenye stara. Akizungumza na Mtanzania Digital Juni 30, 2022 moja ya waasisi wa tamasha hilo, Asma Makau, amesema jukwaa hilo ni mahususi kwa kuonyesha nguo zenye kujistri na kutoa frusa kwa wabunifu kujitangaza. “Hii ni frusa kwa wabunifu wetu wa Afrika kuonyesha kazi zao ambazo zimekuwa na wadau wengi kutokana na tamasha hili pia imekuwa ni sehemu ya kuwakutanisha wabunifu na wateja pamoja na kutanua wigo kwa kukutana na wabunifu wakubwa kutoka nje ya Tanzania,” anasema Makau. Ameongeza kuwa mwaka huu kuna wabunifu 30 ambao 15 wataonyesha siku ya kwanza na 15 watafunga siku ya pili ambayo ita ambatan...

Kwa Undani: Marekani yatoa msaada zaidi kwa Ukraine, Putin asema oparesheni yake ya kijeshi inaendelea vyema

Download Audio The post Kwa Undani: Marekani yatoa msaada zaidi kwa Ukraine, Putin asema oparesheni yake ya kijeshi inaendelea vyema appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/30257/

Muendesha uchunguzi wa UN aiomba Burundi kumruhusu kuingia nchini kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu

Download Audio The post Muendesha uchunguzi wa UN aiomba Burundi kumruhusu kuingia nchini kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/cwfOLqb

Muendesha uchunguzi wa UN aiomba Burundi kumruhusu kuingia nchini kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu

Download Audio The post Muendesha uchunguzi wa UN aiomba Burundi kumruhusu kuingia nchini kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/29839/

R Kelly ahukumiwa miaka 30 jela

Mwimbaji huyo na mtungaji wa nyimbo alipatikana na hatia ya ulaghai na biashara haramu ya ngono mwaka jana katika kesi ambayo iliwapa moyo waliomshtaki ambao waliwahi kujiuliza ikiwa hadithi zao zilipuuzwa kwa sababu walikuwa wanawake weusi. Jaji wa wilaya ya New York Ann Donnely alitoa hukumu hiyo mahakamani katika mji wa Brooklyn. Hukumu hiyo ni pigo kwa Kelly, mwenye umri wa miaka 55. Aliendelea kupendwa na mashabiki wengi hata baada ya madai kuhusu kuwanyanyasa wasichana wadogo kuanza kusambaa hadharani mwaka wa 1990. Wakitokwa na machozi na wakionekana wenye hasira, waliomshtaki R Kelly waliiambia mahakama Jumatano kwamba aliwadhulumu na kuwapotosha mashabiki wake, wakati nyota huyo wa zamani wa R&B akisubiri kuhukumiwa kwa kosa la biashara haramu ya ngono. “Ulinifanya nifanye mambo ambayo yalinivunja moyo. Nilitamani kufa kwa sababu ya jinsi ulivyonifanya nijihisi duni,” mwanamke mmoja alimwambia mwimbaji huyo aliyewahi kushinda tuzo ya juu ya Grammy. Alisema alipatwa ...

Martin Kadinda azidi kung’ara Kimataifa

Na Jeremia Ernest, Mtanzania Digital MWANAMITINDO nguli nchini, Martn Kadinda, ameshinda tuzo ya ‘Internetion Fashion Desgner 2022 ‘ katika tamasha la Ghana Merit Award lililofanyika June10, nchini Ghana. Hii ni tuzo ya tano ya Kimataifa kwa Mbunifu huyo ambapo mwaka 2018 alipata pia tuzo ya mbunifu bora wa nguo za kiume kutoka nchini Nigeria na tolea bora la Kiafrika mwaka 2019 katika jukwaa la Durban Fashion Fair Afrika Kusini . Akizungumza na Mtanzania Digital baada ya kupokea tuzo hiyo, Kadinda amesema anafurahi kuona ulimwengu unafatilia kazi zake na kuahidi kuendelea kufanya vizuri. “Nina furaha kwa sababu malengo yangu ya kuonyesha uwezo wangu duniani yanazidi kufanikiwa siku hadi siku, ni washukuru wandaaji wa tuzo hizi niwaombe waendelee kuandaa kwa sababu inatupatia motisha ya kufanya kazi nzuri kila kukicha,” amesema Kadinda. Ameongeza kuwa ataendelea kufanya kazi yake kwa bidii na kuwataka wabunifu wengine kutokata tamaa ya kufanya kazi nzuri kwa sababu matunda anayo...

Kwa Undani: Marekani kuongeza wanajeshi Ulaya, Russia inaendelea kushambulia Ukraine

Download Audio The post Kwa Undani: Marekani kuongeza wanajeshi Ulaya, Russia inaendelea kushambulia Ukraine appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/cwfOLqb

Martin Kadinda azidi kung’ara Kimataifa

Na Jeremia Ernest, Mtanzania Digital MWANAMITINDO nguli nchini, Martn Kadinda, ameshinda tuzo ya ‘Internetion Fashion Desgner 2022 ‘ katika tamasha la Ghana Merit Award lililofanyika June10, nchini Ghana. Hii ni tuzo ya tano ya Kimataifa kwa Mbunifu huyo ambapo mwaka 2018 alipata pia tuzo ya mbunifu bora wa nguo za kiume kutoka nchini Nigeria na tolea bora la Kiafrika mwaka 2019 katika jukwaa la Durban Fashion Fair Afrika Kusini . Akizungumza na Mtanzania Digital baada ya kupokea tuzo hiyo, Kadinda amesema anafurahi kuona ulimwengu unafatilia kazi zake na kuahidi kuendelea kufanya vizuri. “Nina furaha kwa sababu malengo yangu ya kuonyesha uwezo wangu duniani yanazidi kufanikiwa siku hadi siku, ni washukuru wandaaji wa tuzo hizi niwaombe waendelee kuandaa kwa sababu inatupatia motisha ya kufanya kazi nzuri kila kukicha,” amesema Kadinda. Ameongeza kuwa ataendelea kufanya kazi yake kwa bidii na kuwataka wabunifu wengine kutokata tamaa ya kufanya kazi nzuri kwa sababu matunda anayo...

Kwa Undani: Marekani kuongeza wanajeshi Ulaya, Russia inaendelea kushambulia Ukraine

Download Audio The post Kwa Undani: Marekani kuongeza wanajeshi Ulaya, Russia inaendelea kushambulia Ukraine appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/29831/

Samike: Viongozi wa Dini toeni elimu ya Sensa kwa waumini

Na Clara Matimo, Mwanza Viongozi  wa Dini nchini wameaswa kushirikiana na serikali kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Agosti 23, mwaka huu huku wakitakiwa kusaidia kuondoa upotoshaji kuwa zoezi hilo ni haramu na linapingwa na maandiko matakatifu. Wito huo umetolewa leo Jumanne Juni 28, 2022 jijini Mwanza na Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Ngusa Samike wakati akifungua kikao cha mafunzo kwa wajumbe wa kamati ya amani ya viongozi wa dini mkoa wa Mwanza juu ya umuhimu wa sensa. Baadhi ya viongozi wa kamati ya amani ya viongozi wa dini Mkoa wa Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Tawala Mkoa wa mkoa huo, Ngusa Samike(wa nne mstari wa kwanza) baada ya kufungua kikao cha mafunzo kwa wajumbe wa kamati hiyo leo Juni 28, 2022. Samike amesema Serikali itaendelea kushirikiana na viongozi wa dini katika kutoa elimu endelevu kuhusu sensa ili waweze kutoa taarifa sahihi kwa waumini wao huku akiwahimiza kuweka mabango na matang...

Serikali yawataka Wakurugenzi wa Halmashauri kuanzisha Klabu za UKIMWI

Na Ramadhan  Hassan, Dodoma Serikali imewataka Wakurugenzi wa Halmashauri zinazotekeleza mradi wa Timiza Malengo kusimamia kwa ufanisi mambo matatu ikiwemo kuanzisha na kuimarisha klabu za UKIMWI ambazo zitawezesha wanafunzi kujadili na kujifunza mada zilizowekwa katika vishikwambi. Hayo yameelezwa leo Jumanne Juni 28,2022 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene wakati wa uzinduzi wa ugawaji wa vishikwambi kwa walimu wa shule za msingi na sekondari kwenye mradi wa timiza malengo. Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS, Dk. Leonard Maboko akizungumza kwenye hafla hiyo. Katika hafla hiyo, Simbachawene alimwakilisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na shule 36 za msingi na sekondari zilipatiwa vishkwambi hivyo. Simbachawene amewaagiza Wakurugenzi hao kuanzisha na kuimarisha klabu za Ukimwi ambazo zitawezesha wanafunzi kujadili na kujifunza mada zilizowekwa katika vishikwambi. Pia amewataka kusimamia na kufuatilia uwajibikaji wa Maafisa ugan...

Kwa Undani: Mjadala kuhusu utoaji mimba umeshika kasi Marekani, Maamuzi yanafanyika katika majimbo

Download Audio The post Kwa Undani: Mjadala kuhusu utoaji mimba umeshika kasi Marekani, Maamuzi yanafanyika katika majimbo appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/29433/

Samike: Viongozi wa Dini toeni elimu ya Sensa kwa waumini

Na Clara Matimo, Mwanza Viongozi  wa Dini nchini wameaswa kushirikiana na serikali kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Agosti 23, mwaka huu huku wakitakiwa kusaidia kuondoa upotoshaji kuwa zoezi hilo ni haramu na linapingwa na maandiko matakatifu. Wito huo umetolewa leo Jumanne Juni 28, 2022 jijini Mwanza na Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Ngusa Samike wakati akifungua kikao cha mafunzo kwa wajumbe wa kamati ya amani ya viongozi wa dini mkoa wa Mwanza juu ya umuhimu wa sensa. Baadhi ya viongozi wa kamati ya amani ya viongozi wa dini Mkoa wa Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Tawala Mkoa wa mkoa huo, Ngusa Samike(wa nne mstari wa kwanza) baada ya kufungua kikao cha mafunzo kwa wajumbe wa kamati hiyo leo Juni 28, 2022. Samike amesema Serikali itaendelea kushirikiana na viongozi wa dini katika kutoa elimu endelevu kuhusu sensa ili waweze kutoa taarifa sahihi kwa waumini wao huku akiwahimiza kuweka mabango na matang...

Rais wa Marekani Biden na Rais wa China Jinping watakutana wiki chache zijazo lakini sio baada ya mkutano wa G7 anasema Jake Sullivan

Download Audio The post Rais wa Marekani Biden na Rais wa China Jinping watakutana wiki chache zijazo lakini sio baada ya mkutano wa G7 anasema Jake Sullivan appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/29075/

Kampuni ya Sonatrach ya Algeria imetangaza ugunduzi wa akiba wa gesi asilia

Kampuni ya nishati ya Sonatrach ya serikali ya Algeria siku ya Jumatatu ilitangaza ugunduzi wa akiba muhimu ya gesi katika uwanja wa Hassi R’mel katika jangwa la Sahara. Taarifa ya Sonatrach inaeleza kwamba imegundua uwezekano mkubwa wa mafuta ghafi katika uwanja wa uchimbaji mafuta wa Hassi R’mel. Taarifa inaeleza kwamba Akiba hiyo inakadiriwa kuwa na kiwango cha gesi ghafi cha karibu metric za mraba bilioni 100 hadi 340. Kiwango hiki ni mojawapo ya kiwango kikubwa zaidi cha akiba kilichogunduliwa katika kipindi cha miaka 20 iliyopita. Sonatrach inapanga kuanza kufanya kazi ya uchimbaji kwenye uwanja huo kuanzia mwezi Novemba huku uzalishaji ukitarajiwa kufikia mita za ujazo milioni 10 kwa siku. Algeria imethibitisha kuwa na akiba ya gesi asilia ya takribani metric za mraba trilioni 2.4 na kuipatia ulaya takribani asilimia 11 ya gesi yake inayoagizwa kutoka nje. The post Kampuni ya Sonatrach ya Algeria imetangaza ugunduzi wa akiba wa gesi asilia appeared first on soka letu ....

Baraza la usalama la UN kukutana juu ya mashambulizi ya hivi karibuni ya Russia nchini Ukraine

Lengo kuu la mkutano huo wa Baraza la usalama la Umoja wa mataifa ni kuhusu shambulio la kombora kwenye jengo kubwa la maduka ya biashara katikati mwa jiji la Kremnchuk, amesema msemaji wa ujumbe wa Albania, ambao unaongoza uenyekiti wa Baraza hilo kwa sasa. Mashambulizi ya makombora mjini kote Kyiv siku ya Jumapili, dhidi ya jengo la makazi ya watu, yatajadiliwa pia kwenye mkutano huo, msemaji huyo amesema. Watu 13 wamethibitishwa kuuawa katika shambulio la Kremenchuk, ambalo limelaaniwa na Umoja wa mataifa na viongozi wa dunia. Maafisa wa Ukraine wameishtumu Moscow kulenga raia baada ya ripoti ya mashambulizi mengine mawili mashariki mwa nchi jana Jumatatu ambayo yaliua watu 12. Russia ambayo ilianza uvamizi dhidi ya Ukraine mwezi Februari mwaka huu, imekanusha tuhuma kwamba mashambulizi hayo ya Jumapili kwenye mji mkuu wa Ukraine yalilenga makazi ya watu, ikisema ilikuwa inalenga kiwanda cha silaha. The post Baraza la usalama la UN kukutana juu ya mashambulizi ya hivi kari...

Kwa Undani: Vyombo vya habari Kenya vyatuhumiwa kwa mapendeleo katika kuandika habari za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu

Download Audio The post Kwa Undani: Vyombo vya habari Kenya vyatuhumiwa kwa mapendeleo katika kuandika habari za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/o8V6qze

Kwa Undani: Vyombo vya habari Kenya vyatuhumiwa kwa mapendeleo katika kuandika habari za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu

Download Audio The post Kwa Undani: Vyombo vya habari Kenya vyatuhumiwa kwa mapendeleo katika kuandika habari za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/29063/

Mafanikio ya kulinda mazingira kutokana na kazi za kibinadamu yamepatikana; inasema CBD

Wajumbe kutoka takribani mataifa 200 wamepiga hatua kidogo kuelekea kuandaa rasimu ya mkataba wa kimataifa wa kulinda mazingira kutokana na kazi za kibinadamu baada ya karibu wiki nzima ya mazungumzo magumu mjini Nairobi. Mikutano hiyo iliyohitimishwa Jumapili ililenga kuondoa tofauti miongoni mwa wanachama 196 wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa juu ya mchanganyiko wa viumbe(CBD) ikiwa ni takribani miezi sita kabla ya mkutano muhimu wa COP-15 mwezi Disemba. Lengo kuu ni kuandaa rasimu ya maandishi inayoelezea mfumo wa kimataifa wa kuishi kwa kupambana na mazingira asili ifikapo mwaka 2050 na malengo makuu yatafikiwa ifikapo mwaka 2030. Wengi wanatumai mpango huo wa kihistoria utakapokamilika utakuwa na malengo makubwa ya kulinda maisha duniani kama vile ulivyokuwa mkataba wa Paris wa mabadiliko ya hali ya hewa. Taarifa ya mwisho ya vyombo vya habari kutoka CBD ilisema wajumbe wamefikia makubaliano juu ya malengo kadhaa. Elizabeth Maruma Mrema katibu mtendaji wa CBD alikiri wakati ak...

NYOTA KAIZER CHIEFS KAKOMBA MKWANJA MREFU JANGWANI

IMEFAHAMIKA kwamba, mshambuliaji mpya wa Yanga, Mzambia, Lazarous Kambole, ndani ya kikosi hicho alichosaini mkataba wa miaka miwili, atakuwa analipwa zaidi ya shilingi milioni 278. Kambole amejiunga na Yanga akitokea Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini akiwa ni mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake.  Mchezaji huyo ni wa kwanza kutambulishwa ndani ya Yanga kuelekea msimu ujao ambapo bado timu hiyo inaendelea kusaka majembe mengine ya kuimarisha kikosi chao.  Taarifa kutoka ndani ya Yanga, zinasema kuwa, mshambuliaji huyo amekubali kijiunga na timu hiyo baada ya kuwekewa ofa ya mshahara wa dola 5000 kwa mwezi ambazo ni sawa shilingi 11,619,200 za Kitanzania.  Akiwa amesaini mkataba wa miaka miwili, Kambole ndani ya mwaka mmoja wenye miezi 12, atakuwa akilipwa dola 60,000 sawa na shilingi 139,430,400 za Kitanzania.  Hivyo hadi mkataba wake wa sasa wa miaka miwili wenye miezi 24 ukimalizika, atakuwa jumla amelipwa dola 120,000 ambazo ni sawa na shilingi 278,860,...

Rais wa Niger Mohamed Bazoum amepongeza mafanikio ya mapambano dhidi ya Boko Haram

Rais wa Niger Mohamed Bazoum siku ya Jumapili alipongeza maendeleo katika kupambana na Boko Haram na wapiganaji wa kundi la Islamic State West Africa Province akisema wanashinda vita hivi. Bazoum alikuwa akizungumza wakati wa ziara yake kusini-mashariki mwa nchi hiyo karibu na mpaka na Nigeria. “Amesema wanashinda vita hivyo na inabidi waongeze juhudi kidogo ili kukamilisha kazi yote, akiwa anazungumza na wanajeshi walioko katika mji wa Gueskerou aliongeza kuwa mwisho wa Boko Haram upo karibu sana”. Lakini kulingana na mwanasiasa kutoka jimbo hilo Boko Haram wanaendelea kusambaza hofu kwa kuwanyanyasa watu kwa utekaji nyara, kushinikiza wengine kukimbia vijiji vyao kwa mara nyingine tena. Eneo linalozunguka Diffa ni makazi ya wakimbizi 300,000 wa Nigeria na watu waliokoseshwa makazi ndani ya nchi kutokana na unyanyasaji wa Boko Haram na Islamic State West Africa Province, kulingana na UN. Kampeni ya kijeshi ya Niger dhidi ya makundi ya kijihadi inaendelea sehemu kubwa ikijikita k...