Skip to main content

Posts

Bunge kupokea Muswada wa Sheria ya Habari

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kuwa macho na masikio ya wadau wa habari nchini, yanaelekezwa jijini Dodoma kusubiri muswada wa Sheri ya Habari ukisomwa kwa mara ya kwanza Januari hii. Mwenyekiti wa Jukuwaa la Wahariri Tanzania(TEF), Deodatus Balile. Hayo yamebainishwa mapema leo Alhamisi Januari 19, 2023 jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile ambapo amesema kuwa hatua iliyofikiwa ni nzuri na maelekezo ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan yanatekelezwa na shauku kubwa ya wadau wa habari nikuona muswada huo ukiwasilishwa bungeni Januari hii. “Wiki hii tunarajia kwamba Wizara ya habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari itawasilisha muswada wa huduma za habari bungeni na utajadiliwa na Mungu akipenda mwezi Febuari utakua umepitishwa kuwa sheria na tumeona kwamba mwelekeo ni mzuri. “Hivyo, TEF pamoja na wadau wote wa habari tunatarajia kwamba mambo yatakwenda vizuri endapo muswada huo utaingia bungeni na kusomwa kw...
Recent posts

Expanse Studio na Meridianbet Kuleta Chuma Kipya Mjini

Wiki chache tu baada ya kuzindua michezo yao ya hivi karibuni – Wild White Whale na Zombie Apocalypse hatimaye sasa Expanse Studio inakuja Tanzania, kuonyesha bidhaa yake mpya ya hivi karibuni katika kituo cha BR21 ya Sigma Africa 2023, kuanzia tarehe 16 hadi 19 Januari. Sigma Africa , maonyesho makubwa zaidi ya kihistoria, huleta pamoja wasimamizi wa michezo ya kubahatisha, wataalamu wa hisani, wasimamizi ulimwenguni kote ili kutathimini maendeleo ya hivi karibuni katika tasnia. Maonyesho hayo yatasaidia kuchangamsha zama hizi za kusisimua kwa kuwa kama kiunganishi kwa watu wenye akili timamu zaidi katika bara la Afrika, sekta ya kamari na michezo ya kubahatisha inapaswa kushirikiana na maelfu ya wageni kutoka mabara mengine. Ikiwa na zaidi ya vitabu 30 vya michezo vilivyoidhinishwa nchini humo, Kenya ni soko la tatu kwa ukubwa wa michezo ya kubahatisha katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Expanse Studio ilianzishwa mwaka wa 2017 na maveterani wa tasnia kwa lengo la kule...

Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere wafikia asilimia 80.2

Na Mwandishi Wetu,Mtanzania Digital NAIBU Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato, amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha umeme wa kiasi cha megawati 2,115  umefikia asilimia 80.2. Naibu Waziri Byabato ameyasema hayo Januari 17, 2023, wakati Wizara ya Nishati ikitoa taarifa ya utekelezaji wa mradi huo kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini jijini Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe.Dunstan Kitandula (mbele, kushoto) akizungumza baada ya Wizara ya Nishati kutoa taarifa ya utekelezaji wa mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kwa Wajumbe wa Kamati hiyo jijini Dodoma. “Kwa sasa utekelezaji wa mradi unaenda kwa kasi  ambapo hadi kufikia Desemba 31, 2022 umefikia asilimia 80.22, aidha mnamo Desemba 22, 2022 zoezi la kuanza kujaza maji katika bwawa la JNHPP lilifanyika kwa kufunga mageti ya njia ya mchepusho,” amesema Byabato. Kuhusu kazi ya ujazaji maji katika Bwawa la...

Tanzania, Kenya zajadili ushirikiano Sekta ya Umeme na Gesi

Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAZIRI wa Nishati, January Makamba pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Isaac Njenga wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa Tanzania na Kenya katika Sekta ya Umeme na Gesi. Mazungumzo hayo yamefanyika Januari 18, 2023 jijini Dodoma ambapo viongozi hao walizungumzia ushirikiano katika kuendeleza nishati ya Jotoardhi, Jua, Upepo pamoja na mradi ya usafirishaji Gesi, usafirishaji umeme na usambazaji umeme vijijini. Waziri wa Nishati, January Makamba (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mhe.Isaac Njenga (kulia) mara baada ya kufika katika Ofisi za Wizara ya Nishati jijini Dodoma ili kuzungumza masuala yanayohusu ushirikiano wa Tanzania na Kenya katika Sekta ya Gesi na Umeme. Waziri wa Nishati, January Makamba amemueleza Balozi Njenga kuwa, Tanzania ipo tayari kuendeleza ushirikiano na Kenya katika Sekta ya Gesi na Umeme kwani nchi hizo tayari zina ushirikiano kwenye sekta mbalimbali ikiwemo miundombinu ya barabara na a...

 Milan Derby Odds Bomba Meridianbet.

Ukiachana na burudani za soka ulaya, utamu mwingine utakuwa kwenye Milan Derby kati ya AC Milan dhidi ya Inter Milan ni mashindano ya Supercoppa Italiana. Lakini pia kuna mechi za Copa del Rey, Coppa Italia na EPL zote zitaendelea tena wiki hii, kumbuka Odds kubwa unazipata Meridianbet. Ukubwa wa mechi hii sio tu kwa wingi wa mashabiki wanaoingia uwanjani, habari nyingi kuandikwa vyote havitoshi kubwa Zaidi ni kwamba ukubwa wa mechi hii ya Milan Derby ina Odds bomba na kubwa Meridianbet, machaguo ya kubashiri nayo ni mengi ushindwe wewe tu. AC Milan ana 2.79 ushindi, sare ina 3.23 na ushindi kwa Inter ni 2.45. kila timu ina nafasi ya kushinda, weka ubashiri wako. Mechi za Copa del Rey siku ya Alhamis ni kati ya Sporting Gijon vs Valencia ushindi kwenye mechi huu unanogeshwa na machaguo kibao ya Meridianbet, odds bomba na kubwa za ushindi Valencia 2.11 vs 3.18 kwa Sporting Gijon. Atletico Madrid watakuwa wagane wa Levante kwenye dimba la Estadi Ciutat de València katika mji wa Va...