Skip to main content

Posts

Showing posts from August, 2022

Dooh! ONYOK kalizua sasa, kaingizwa gerezani kimagendo halafu kagonga msosi wote wa mkurugenzi mpaka kavimbiwa 😂😂😂 BROTHERS| I…

Dooh! ONYOK kalizua sasa, kaingizwa gerezani kimagendo halafu kagonga msosi wote wa mkurugenzi mpaka kavimbiwa BROTHERS| IMEANZA SASA | @startimes_swahili Kumbuka kifurushi cha Mambo (Antena) ni 15000/= kwa mwezi Na Smart (Dish) ni 21000/= kwa mwezi. Bonyeza link kwenye bio @startimestz kupakua StarTimes ON kuangalia kiganjani #startimeson #brothers #startimescares #startimesmara100zaidi @startimestz Title of the document BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA HABARI ZA KIMATAFIA TOKA BBC SWAHILI,NA MAGAZETI YOTE YA HAPA NCHINI The post Dooh! ONYOK kalizua sasa, kaingizwa gerezani kimagendo halafu kagonga msosi wote wa mkurugenzi mpaka kavimbiwa 😂😂😂 BROTHERS| I… appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/51943/

Wabunge wa DRC wakosolewa kwa kulipwa mishahara ya juu sana

Kupata taarifa sahihi kuhusu kiasi gani wabunge wanapata nchini DRC ni vigumu. Hata hivyo, Jumanne, kiongozi wa upinzani Martin Fayulu alisema katika taarifa kwamba malipo ya wabunge hao yamefikia hadi dola 21,000 kwa mwezi na ameomba uchunguzi ufanyike juu ya suala hilo. “Ninaghadhabika sana,” alisema, akionyesha kwamba asilimia 70 ya raia wa Congo wapatao milioni 90 wanaishi na chini ya dola 2 kwa siku. “Huu ni ufisadi kwa kiwango kikubwa,” aliongeza. Taarifa hiyo iliibua msururu wa makala katika vyombo vya habari vya Congo Jumatano, pamoja na bunge la taifa lenye wabunge 500 kukanusha rasmi madai hayo. Mbunge Samuel Mbemba, ambaye anafanya kazi na spika wa bunge hilo, ameiambia AFP kwamba Fayulu alikuwa “anaota” kwa kutoa kauli hiyo. Hata hivyo, Tresor Kibangula, mchambuzi katika taasisi ya utafiti iitwayo Ebuteli, anakadiria kuwa kiwango hicho cha mshahara wa wabunge ni sahihi. The post Wabunge wa DRC wakosolewa kwa kulipwa mishahara ya juu sana appeared first on soka ...

SIMBA YAPOTEZA MBELE YA AL HILAL

KIKOSI cha Simba kimepoteza mchezo wake wa pili wa kirafiki kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Al Hilal. Mchezo wa leo ni wa pili kwa Simba kucheza ikiwa nchini Sudan ambapo ilialikwa kwenye mashindano maalumu yaliyoandaliwa na Klabu ya Al Hilal. Katika mchezo wa kwanza Simba ilishinda mabao 4-2 dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana. Bao pekee la ushindi kwa Al Hilal limefungwa na John Mano dakika ya 62 na kuwafanya Simba kupoteza mbele ya wenyeji wao. Nyota Gadiel Michael alikwama kuyeyusha dakika 90 baada ya kupata maumivu na nafasi yake ilichukuliwa na Okwa huku mshambuliaji mzungu wa Simba Dejan akianza kikosi cha kwanza kwenye mchezo huo. The post SIMBA YAPOTEZA MBELE YA AL HILAL appeared first on Saleh Jembe . The post SIMBA YAPOTEZA MBELE YA AL HILAL appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/51933/

KISINDA AREJEA YANGA KWA MARA NYINGINE TENA

TUISILA Kisinda amerejea kwa mara nyingine ndani ya kikosi cha Yanga akitokea Klabu ya RS Berkane. Nyota huyo raia wa DR Congo anasifika kwa soka la spidi na kuwa mmoja ya viungo ambao wana kasi kubwa wawapo uwanjani. Anakumbukwa namna alivyokuwa akiwapa tabu wapinzani wake alipokuwa ndani ya Yanga ikiwa ni pamoja na kumsababisha penalti kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba iliyokamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1. Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said ameonekana akiongea naye na kumwambia kwamba karibu kwa mara nyingine Yanga. Kisinda ameweka wazi kuwa anarejea kufanya kazi na yeye anajua majukumu yake. Unakuwa ni usajili wa kufungia kazi kwa Yanga ambayo imewasajili pia Gael Bigirimana, Bernard Morrison na Aziz KI. The post KISINDA AREJEA YANGA KWA MARA NYINGINE TENA appeared first on Saleh Jembe . The post KISINDA AREJEA YANGA KWA MARA NYINGINE TENA appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/51934/

Maoni mseto baada ya serikali ya Kenya kuzindua mfumo mpya wa namba za Magari

Download Audio The post Maoni mseto baada ya serikali ya Kenya kuzindua mfumo mpya wa namba za Magari appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/vx6OPzn

Maoni mseto baada ya serikali ya Kenya kuzindua mfumo mpya wa namba za Magari

Download Audio The post Maoni mseto baada ya serikali ya Kenya kuzindua mfumo mpya wa namba za Magari appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/51931/

🔴LIVE: Taarifa ya Habari, Saa Mbili Kamili Usiku, Agosti 30, 2022.

LIVE: Taarifa ya Habari, Saa Mbili Kamili Usiku, Agosti 30, 2022. Title of the document BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA HABARI ZA KIMATAFIA TOKA BBC SWAHILI,NA MAGAZETI YOTE YA HAPA NCHINI The post 🔴LIVE: Taarifa ya Habari, Saa Mbili Kamili Usiku, Agosti 30, 2022. appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/51775/

Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu, amesema serikali inatarajia kuanza Kampeni ya awamu ya tatu ya kutoa matone ya chanjo ya Polio …

Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu, amesema serikali inatarajia kuanza Kampeni ya awamu ya tatu ya kutoa matone ya chanjo ya Polio kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano kuanzia Septemba 1 hadi 4 Mwaka huu 2022. Title of the document BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA HABARI ZA KIMATAFIA TOKA BBC SWAHILI,NA MAGAZETI YOTE YA HAPA NCHINI The post Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu, amesema serikali inatarajia kuanza Kampeni ya awamu ya tatu ya kutoa matone ya chanjo ya Polio … appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/6YTZ9CO

🔴LIVE: Taarifa ya Habari, Saa Mbili Kamili Usiku, Agosti 30, 2022.

LIVE: Taarifa ya Habari, Saa Mbili Kamili Usiku, Agosti 30, 2022. Title of the document BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA HABARI ZA KIMATAFIA TOKA BBC SWAHILI,NA MAGAZETI YOTE YA HAPA NCHINI The post 🔴LIVE: Taarifa ya Habari, Saa Mbili Kamili Usiku, Agosti 30, 2022. appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/6YTZ9CO

ERKUT bila shaka ana nati flani zimelegea kichwani, sasa kumpaka mwenzie unga wa ngano ni nini? USIKOSE ‘LOVE TRAP’/ INAYOYOMA …

ERKUT bila shaka ana nati flani zimelegea kichwani, sasa kumpaka mwenzie unga wa ngano ni nini? USIKOSE ‘LOVE TRAP’/ INAYOYOMA @startimes_swahili Lipia Mambo (Antena) ni 15000/= kwa mwezi Na Smart (Dish) ni 21000/= kwa mwezi Bonyeza link kwenye bio @startimestz kupakua StarTimes ON kuangalia kiganjani au bonyeza https://ift.tt/7RemnaL #startimeson #Love trap#startimeson #startimescares #startimesmara100zaidi @startimestz Title of the document BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA HABARI ZA KIMATAFIA TOKA BBC SWAHILI,NA MAGAZETI YOTE YA HAPA NCHINI The post ERKUT bila shaka ana nati flani zimelegea kichwani, sasa kumpaka mwenzie unga wa ngano ni nini? USIKOSE ‘LOVE TRAP’/ INAYOYOMA … appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/51703/

Mikhiel Gorbachev, rais wa mwisho wa Urusi, aaga dunia akiwa na umri wa miaka 91

Gorbachev, kiongozi wa mwisho wa Urusi, alishiriki pakubwa katika mikataba kati ya Muungano wa Usovieti na Marekani ya kutaka kupunguza silaha, na ushirikiano na madola ya Magharibi ili kuondoa wingu nzito la mgawanyiko wa Ulaya tangu Vita vya Pili vya Dunia na kupelekea muungano wa Ujerumani. Lakini mageuzi yake mapana ya ndani yalisaidia kudhoofisha Umoja wa Kisovieti hadi ikasambaratika, muda ambao Rais Vladimir Putin ameuita “janga kubwa zaidi la kisiasa la kijiografia” la karne ya ishirini. “Mikhail Gorbachev amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua ugonjwa mbaya na wa muda mrefu,” Hospitali Kuu ya Russia ilisema katika taarifa. Putin alitoa “rambi rambi zake,” msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov aliambia shirika la habari la Interfax. “Kesho atatuma ujumbe wa rambirambi kwa familia na marafiki,” alisema. Mnamo mwaka wa 2018, Putin alisema angebadilisha kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti ikiwa angeweza, mashirika ya habari yaliripoti wakati huo. Viongozi wa dunia wal...

#MUBASHARA – TAZAMA THE BIG AGENDA NA MTOZI ALOYCE NYANDA LEO AUG 29.2022

#MUBASHARA – TAZAMA THE BIG AGENDA NA MTOZI ALOYCE NYANDA LEO AUG 29.2022 Title of the document BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA HABARI ZA KIMATAFIA TOKA BBC SWAHILI,NA MAGAZETI YOTE YA HAPA NCHINI The post #MUBASHARA – TAZAMA THE BIG AGENDA NA MTOZI ALOYCE NYANDA LEO AUG 29.2022 appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/8uYgznJ

#STARTVHABARI – ASILIMIA 93.45 ZA KAYA NCHINI ZAHESABIWA-29.08.2022

#STARTVHABARI – ASILIMIA 93.45 ZA KAYA NCHINI ZAHESABIWA-29.08.2022 Title of the document BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA HABARI ZA KIMATAFIA TOKA BBC SWAHILI,NA MAGAZETI YOTE YA HAPA NCHINI The post #STARTVHABARI – ASILIMIA 93.45 ZA KAYA NCHINI ZAHESABIWA-29.08.2022 appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/51419/

#MUBASHARA – TAZAMA THE BIG AGENDA NA MTOZI ALOYCE NYANDA LEO AUG 29.2022

#MUBASHARA – TAZAMA THE BIG AGENDA NA MTOZI ALOYCE NYANDA LEO AUG 29.2022 Title of the document BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA HABARI ZA KIMATAFIA TOKA BBC SWAHILI,NA MAGAZETI YOTE YA HAPA NCHINI The post #MUBASHARA – TAZAMA THE BIG AGENDA NA MTOZI ALOYCE NYANDA LEO AUG 29.2022 appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/51417/

Usikose Tamthilia hii mpya ya #utambi Itakujia kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa saa 1 :30 usiku ndani ya @mambotvswahili Ang…

Usikose Tamthilia hii mpya ya #utambi Itakujia kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa saa 1 :30 usiku ndani ya @mambotvswahili Angalia chaneli ya #mambotvswahili kupitia: #startimestz chaneli namba 123 & dish ch.466 #zuku_tanzania chaneli no. 212 #zmuxtz chameli no. 30⠀⠀ #utambi #pilipilientertainment #mambotvswahili Title of the document BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA HABARI ZA KIMATAFIA TOKA BBC SWAHILI,NA MAGAZETI YOTE YA HAPA NCHINI The post Usikose Tamthilia hii mpya ya #utambi Itakujia kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa saa 1 :30 usiku ndani ya @mambotvswahili Ang… appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/8uYgznJ

Usikose Tamthilia hii mpya ya #utambi Itakujia kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa saa 1 :30 usiku ndani ya @mambotvswahili Ang…

Usikose Tamthilia hii mpya ya #utambi Itakujia kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa saa 1 :30 usiku ndani ya @mambotvswahili Angalia chaneli ya #mambotvswahili kupitia: #startimestz chaneli namba 123 & dish ch.466 #zuku_tanzania chaneli no. 212 #zmuxtz chameli no. 30⠀⠀ #utambi #pilipilientertainment #mambotvswahili Title of the document BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA HABARI ZA KIMATAFIA TOKA BBC SWAHILI,NA MAGAZETI YOTE YA HAPA NCHINI The post Usikose Tamthilia hii mpya ya #utambi Itakujia kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa saa 1 :30 usiku ndani ya @mambotvswahili Ang… appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/51393/

China kufuta mikopo ya nchi 17 za Afrika

Download Audio The post China kufuta mikopo ya nchi 17 za Afrika appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/51387/