Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2022

Biden na Jacinda Arden wameshauriana juu ya udhibiti wa bunduki na itikadi kali za mtandaoni

Rais Joe Biden alimwomba ushauri Waziri Mkuu wa New Zealand, Jacinda Arden siku ya Jumanne baada ya ufyatuaji risasi wa umma wa hivi karibuni nchini Marekani lakini White House pia ilikiri mapungufu inayokabiliana nayo katika udhibiti wa bunduki ikilinganishwa na washirika wake wa karibu. Katika mkutano na Arden huko Oval Office, Biden alielezea mauaji ya mwaka 2019 ya Christchurch ya watu 51 katika ufyatuaji risasi wa umma uliowalenga waislam. Umwagaji damu huo ulisababisha New Zealand kupiga marufuku bunduki za kijeshi na kuanzisha mchakato uliofanikiwa juu ya ununuzi wa bunduki. “Tunahitaji muongozo wako” Biden alisema akimaanisha ushirikiano mpana wa Marekani na New Zealand lakini hasa kwa kile alichokiita juhudi za kimataifa za kukabiliana na vurugu na itikadi kali za mtandaoni. Nataka kufanya kazi nanyi katika juhudi hizo aliongeza. Biden ambaye aliutembelea mji wa Uvalde kwenye jimbo la Texas siku ya Jumapili kuomboleza vifo vya watoto 19 na waalimu wawili waliouawa na mtu...

Rwanda yaonya kuwa itajibu mashambulizi ya uchokozi kutoka DRC

Download Audio The post Rwanda yaonya kuwa itajibu mashambulizi ya uchokozi kutoka DRC appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/4tiPUgR

Rwanda yaonya kuwa itajibu mashambulizi ya uchokozi kutoka DRC

Download Audio The post Rwanda yaonya kuwa itajibu mashambulizi ya uchokozi kutoka DRC appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/20256/

DRC imekubali kuwaachia wanajeshi wawili inaowashikilia wa nchini Rwanda

Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo (DRC) imekubali kuwaachilia wanajeshi wawili wa Rwanda walioshikiliwa na DRC huku mivutano ikiongezeka kati ya majirani hao wawili, Rais wa Angola Joao Lourenco alitangaza Jumanne. Tangazo hilo lilikuja baada ya Lourenco kufanya mazungumzo na Rais wa DRC, Felix Tshisekedi mapema Jumanne. Kutokana na ombi la mwenzake wa Angola, Rais Tshisekedi alikubali kuwaachia wanajeshi wawili wa Rwanda waliokamatwa hivi karibuni katika eneo la DRC, ofisi ya Lourenco ilisema. Hatua hii ina azma ya kusaidia kupunguza mvutano katika uhusiano kati ya nchi hizo mbili, iliongeza. Lourenco baadae alifanya mazungumzo kwa njia ya video na kiongozi wa Rwanda, Paul Kagame, Luanda ilisema. Kufuatia mawasiliano tofauti na Lourenco, viongozi wa Rwanda na DRC walifikia maelewano ya kukutana ana kwa ana mjini Luanda katika tarehe itakayotangazwa baadae. The post DRC imekubali kuwaachia wanajeshi wawili inaowashikilia wa nchini Rwanda appeared first on soka letu . Via soka ...

Kundi la Islamic State limedai kuhusika na shambulizi la DRC lililouwa watu 15

Islamic State siku ya Jumanne lilidai kuhusika na shambulizi lililoua takribani raia 15 katika kijiji kimoja kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo siku ya Jumapili. Kundi hilo la wanamgambo lilisema kwenye mtandao wake wa mawasiliano ya telegram. Kundi la kutetea haki za binadamu na afisa mmoja wa eneo hilo alisema Jumatatu kwamba wapiganaji wanaoaminika kuwa wanachama wa Allied Democratic Forces (ADF) walivamia kijiji cha Bulongo katika jimbo la Kivu kaskazini, baada ya kiza kuingia siku ya Jumapili na kuharibu nyumba pamoja na kuwaua wakaazi ambapo walipita kwenye njia yao na kuchoma moto magari sita. ADF ni wanamgambo wa Uganda ambao wamekuwa wakiendesha harakati zao mashariki mwa Congo tangu miaka ya 1990 na kuua raia wengi ambapo wengi wao ni katika mashambulizi ya usiku wa manane yaliyofanywa kwa kutumia mapanga na mashoka. Pia kundi liliahidi ushirika na Islamic State mwaka 2019. Islamic State ilidai kuwa wanachama wake waliwauwa takribani wakristo 20 na ...

DRC imekubali kuwaachia wanajeshi wawili inaowashikilia wa nchini Rwanda

Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo (DRC) imekubali kuwaachilia wanajeshi wawili wa Rwanda walioshikiliwa na DRC huku mivutano ikiongezeka kati ya majirani hao wawili, Rais wa Angola Joao Lourenco alitangaza Jumanne. Tangazo hilo lilikuja baada ya Lourenco kufanya mazungumzo na Rais wa DRC, Felix Tshisekedi mapema Jumanne. Kutokana na ombi la mwenzake wa Angola, Rais Tshisekedi alikubali kuwaachia wanajeshi wawili wa Rwanda waliokamatwa hivi karibuni katika eneo la DRC, ofisi ya Lourenco ilisema. Hatua hii ina azma ya kusaidia kupunguza mvutano katika uhusiano kati ya nchi hizo mbili, iliongeza. Lourenco baadae alifanya mazungumzo kwa njia ya video na kiongozi wa Rwanda, Paul Kagame, Luanda ilisema. Kufuatia mawasiliano tofauti na Lourenco, viongozi wa Rwanda na DRC walifikia maelewano ya kukutana ana kwa ana mjini Luanda katika tarehe itakayotangazwa baadae. The post DRC imekubali kuwaachia wanajeshi wawili inaowashikilia wa nchini Rwanda appeared first on soka letu . source ...

Kundi la Islamic State limedai kuhusika na shambulizi la DRC lililouwa watu 15

Islamic State siku ya Jumanne lilidai kuhusika na shambulizi lililoua takribani raia 15 katika kijiji kimoja kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo siku ya Jumapili. Kundi hilo la wanamgambo lilisema kwenye mtandao wake wa mawasiliano ya telegram. Kundi la kutetea haki za binadamu na afisa mmoja wa eneo hilo alisema Jumatatu kwamba wapiganaji wanaoaminika kuwa wanachama wa Allied Democratic Forces (ADF) walivamia kijiji cha Bulongo katika jimbo la Kivu kaskazini, baada ya kiza kuingia siku ya Jumapili na kuharibu nyumba pamoja na kuwaua wakaazi ambapo walipita kwenye njia yao na kuchoma moto magari sita. ADF ni wanamgambo wa Uganda ambao wamekuwa wakiendesha harakati zao mashariki mwa Congo tangu miaka ya 1990 na kuua raia wengi ambapo wengi wao ni katika mashambulizi ya usiku wa manane yaliyofanywa kwa kutumia mapanga na mashoka. Pia kundi liliahidi ushirika na Islamic State mwaka 2019. Islamic State ilidai kuwa wanachama wake waliwauwa takribani wakristo 20 na ...

Kamati kuzuia uhalifu baharini yakutana Dodoma

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Kukabilina na Vitendo vya Kihalifu katika Bahari na Maziwa Makuu imekutana na kufanya kikao cha dharura kwa lengo la kujadili mkataba wa ununuzi wa boti ya doria litakalosaidia kukabiliana na vitendo hivyo nchini. Kikao hicho kimesimamiwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye pia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dk. John Jingu katika ukumbi wa ofisi hiyo Mei 30, 2022 jijini Dodoma kikihusisha Makatibu Wakuu kutoka wizara mbalimbali na wadau wa maendeleo. Miongoni wa wajumbe waliohudhuria ni pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi), Gabriel Migire, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Abdallah Kirungu, Naibu Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mipango ya Maendeleo, Sergio Valdini na Mwakilishi wa Balozi wa Japan Tanzania, Tabuchi Tomoyoshi. Naibu Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mipango ya Maendeleo Bw. Sergio Valdini akich...

Wananchi 437 wafanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo na kisukari Pwani

*Asilimia 60 wakutwa na tatizo la shinikizo la damu *Kati yao asilimia 20 tayari walishapata madhara Na Mwandishi Maalum, Pwani Wananchi 437 wamefanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo na kisukari ambapo asilimia 60 wamekutwa na tatizo la shinikizo la juu la damu (Presha) na asilimia 20 ya waliokutwa na tatizo hilo tayari walishapata madhara ya shinikizo la juu la damu ikiwa ni pamoja na moyo kutokufanya kazi vizuri na kutanuka kwa misuli ya damu ya moyo. Wananchi wengine walikutwa na matatizo ya matundu kwenye moyo, mishipa ya damu ya moyo kutokukaa katika mpangilio wake, matatizo kwenye vyumba vya moyo na mishipa ya damu ya moyo kushindwa kupitisha damu vizuri. Hayo yamesemwa Mei 30, 2022 na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Peter Kisenge wakati wa kufanya tathimini ya  zoezi la upimaji wa magonjwa ya moyo na kisukari lililofanyika katika hospitali ya Halmashauri ya Chalinze iliyopo Msoga wilayani Bagamoyo. Dk. Kisenge amb...

RC Mwanza amtaka CAG Nyamagana

Na Clara Matimo, Mwanza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel, amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa huo, Ngusa Samike, amuandikie barua Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kwenda mkoani humo kufanya ukaguzi wa kina kutokana na upotevu wa zaidi ya Sh Bilioni 3.15 zinazotolewa na serikali kwa makundi maalum katika Halmashauri ya Jiji hilo. Mhandisi Gabriel ametoa maagizo hayo Mei 30, 2022 jijini humo kufutia taarifa aliyopewa na Kamati Maalum aliyoiunda mwezi mmoja uliopita kuchunguza ukiukwaji wa sheria, kanuni na taratibu katika kutoa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya wajasiriamali kutoka makundi maalum ya vijana wanawake na watu wenye ulemavu. Alisema  kamati hiyo ilitembelea Kata 10 kati ya 18 zilizomo ndani ya halmashauri hiyo na vikundi 156 kati ya 337 ndipo ilipobaini Sh bilioni 1.9  ziliidhinishwa na kamati ya huduma na mikopo  kwa miaka mitatu mfululizo  ingawa kwa mujibu wa  mweka hazina wa halmashauri ya j...

Senegal imewazika watoto wachanga 11 waliokufa kwa ajali ya moto hospitalini

Senegal hapo Jumapili ilifanya mazishi ya watoto 11 ambao walikufa kutokana na moto uliowaka kwenye jengo la hospitali, Meya wa eneo hilo alisema baada ya mkasa huo kuibua hasira mpya juu ya hali ya mfumo wa afya. Moto uliozuka Jumatano jioni katika mji wa magharibi wa Tivaouane ulikuwa wa hivi karibuni katika mfululizo wa vifo vya hospitali ambavyo vimefichua udhaifu wa mfumo wa afya wa Senegal. Rais wa Senegal Macky Sall siku ya Alhamis alimfukuza kazi waziri wake wa afya lakini kwa wa-Senegali wengi hiyo haitoshi na wanaogopa majanga zaidi kutokea katika siku zijazo. Mwezi uliopita mwanamke mjamzito alikufa kwa uchungu baada ya kuomba afanyiwe upasuaji lakini alikataliwa katika hospitali ya umma katika mji wa kaskazini-magharibi wa Louga. Watoto 11 waliofariki katika ajali ya moto siku ya Jumatano kwenye wadi ya watoto wachanga walizikwa baada ya sala ya pamoja kwenye makaburi ya Tivaouane kulingana na matakwa ya familia zilizopoteza wapendwa wao. Mazishi hayo yalifanyika kwa...

Mkuu wa jeshi la Sudan ameondoa hali ya dharura iliyowekwa tangu mapinduzi 2021

Mkuu wa jeshi la Sudan, Abdel Fattah al-Burhan siku ya Jumapili aliondoa hali ya dharura iliyowekwa tangu mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2021 baraza kuu linalotawala lilisema. Burhan alitoa amri ya kuondoa hali ya dharura nchi nzima, baraza hilo lilisema katika taarifa yake. Agizo hilo lilitolewa ili kutayarisha mazingira ya mazungumzo yenye matunda na yenye maana ambayo yatafikia utulivu katika kipindi cha mpito, iliongeza taarifa. Uamuzi wa Jumapili ulikuja baada ya mkutano na maafisa wa kijeshi kupendekeza hali ya hatari iondolewe na watu waliozuiliwa chini ya sheria ya dharura waachiliwe. Pia imekuja baada ya wito wa karibuni uliotolewa na mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa, Volker Perthes wa kuondoa hali ya dharura kufuatia mauaji ya waandamanaji wawili wakati wa maandamano yanayopinga mapinduzi hapo siku ya Jumamosi. Sudan imekumbwa na maandamano makubwa tangu mapinduzi ambayo yamekabiliwa na msako mkali ambao umesababisha takribani watu 100 kuuawa na mamia kujeruhiwa ku...

Mkuu wa jeshi la Sudan, Abdel Fattah al-Burhan ameondoa hali ya dharura iliyowekwa tangu mapinduzi ya kijeshi mwaka 2021

Download Audio The post Mkuu wa jeshi la Sudan, Abdel Fattah al-Burhan ameondoa hali ya dharura iliyowekwa tangu mapinduzi ya kijeshi mwaka 2021 appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/19730/

Ukraine imefanya mashambulizi mapya Jumapili katika mji wa Kherson

Ukraine ilifanya mashambulizi mapya Jumapili ya kurudisha ardhi karibu na mji wa bandari wa kusini wa Kherson. Vikosi vya Russia vililenga maeneo huko mashariki mwa Ukraine katika jaribio la kuuteka mji wa Sievierodonetsk mji wa mwisho unaodhibitiwa na Ukraine katika mkoa wa Luhansk. Kherson unatumika kama uwanja wa kuyatayarisha majeshi ya Russia huko kusini mwa Ukraine mji wa kwanza mkubwa kuangukia kwa wanajeshi wa Moscow waliposonga kaskazini kutoka Crimea zaidi ya miezi mitatu iliyopita. Lakini Jumapili jeshi la Ukraine lilisema kwenye Twitter subirini Kherson tunakuja. Wakati huo huo Sievierodonetsk ilikuwa lengo kuu la mashambulizi ya Moscow na sasa iko katika mashambulizi makubwa. Gavana wa eneo la Luhansk ambalo ni pamoja na Donetsk linalounda mkoa wa Donbas alisema Ijumaa kwamba wanajeshi wa Russia wameingia Sievierodonetsk. Kama Russia ingefaulu kuchukua maeneo haya kuna uwezekano mkubwa ikaonekana kuwa Kremlin imepata mafanikio makubwa ya kisiasa na kuonyeshwa kwa w...

Jeshi la DRC lathibitisha kuwashilikia wanajeshi wawili wa Rwanda

Jumamosi, Rwanda ilidai kuwa wanajeshi wake wawili walitekwa nyara na waasi wa Kihutu wanaoendesha harakati zao mashariki mwa DRC. Lakini jeshi la DRC lilisema wanajeshi hao walivuka mpaka na kuingia kwenye ardhi ya Congo na wamezuiliwa na wenyeji. Kila serikali huishutumu nyingine mara kwa mara kuunga mkono makundi ya waasi ambayo inataka kuyatokomeza. Brigadia Jenerali Sylvain Ekenge amesema kukamatwa kwa wanajeshi hao wawili ni ushahidi kuwa jeshi la Rwanda linaendesha operesheni zake kwenye ardhi ya Congo. “Kulingana na maelezo ya wanajeshi hao, waliingia kwenye ardhi ya Congo Jumatano tarehe 25 Mei kushambulia kambi ya jeshi la Congo ya Rumangabo, umbali wa zaidi ya kilomita 20 kutoka mpaka wa Rwanda,” Ekenge amesema. “Baada ya kufurushwa na jeshi la DRC huko Rumangabo, walipotea na hatimaye walikamatwa na wenyeji, amesema Ekenge ambaye ni msemaji wa jeshi katika jimbo la Kivu Kaskazini, ambako Rumangabo inapatikana. Jeshi la Rwanda lilitoa wito kwa viongozi mjini Kinshas...

Senegal imewazika watoto wachanga 11 waliokufa kwa ajali ya moto hospitalini

Senegal hapo Jumapili ilifanya mazishi ya watoto 11 ambao walikufa kutokana na moto uliowaka kwenye jengo la hospitali, Meya wa eneo hilo alisema baada ya mkasa huo kuibua hasira mpya juu ya hali ya mfumo wa afya. Moto uliozuka Jumatano jioni katika mji wa magharibi wa Tivaouane ulikuwa wa hivi karibuni katika mfululizo wa vifo vya hospitali ambavyo vimefichua udhaifu wa mfumo wa afya wa Senegal. Rais wa Senegal Macky Sall siku ya Alhamis alimfukuza kazi waziri wake wa afya lakini kwa wa-Senegali wengi hiyo haitoshi na wanaogopa majanga zaidi kutokea katika siku zijazo. Mwezi uliopita mwanamke mjamzito alikufa kwa uchungu baada ya kuomba afanyiwe upasuaji lakini alikataliwa katika hospitali ya umma katika mji wa kaskazini-magharibi wa Louga. Watoto 11 waliofariki katika ajali ya moto siku ya Jumatano kwenye wadi ya watoto wachanga walizikwa baada ya sala ya pamoja kwenye makaburi ya Tivaouane kulingana na matakwa ya familia zilizopoteza wapendwa wao. Mazishi hayo yalifanyika kwa...

Mkuu wa jeshi la Sudan ameondoa hali ya dharura iliyowekwa tangu mapinduzi 2021

Mkuu wa jeshi la Sudan, Abdel Fattah al-Burhan siku ya Jumapili aliondoa hali ya dharura iliyowekwa tangu mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2021 baraza kuu linalotawala lilisema. Burhan alitoa amri ya kuondoa hali ya dharura nchi nzima, baraza hilo lilisema katika taarifa yake. Agizo hilo lilitolewa ili kutayarisha mazingira ya mazungumzo yenye matunda na yenye maana ambayo yatafikia utulivu katika kipindi cha mpito, iliongeza taarifa. Uamuzi wa Jumapili ulikuja baada ya mkutano na maafisa wa kijeshi kupendekeza hali ya hatari iondolewe na watu waliozuiliwa chini ya sheria ya dharura waachiliwe. Pia imekuja baada ya wito wa karibuni uliotolewa na mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa, Volker Perthes wa kuondoa hali ya dharura kufuatia mauaji ya waandamanaji wawili wakati wa maandamano yanayopinga mapinduzi hapo siku ya Jumamosi. Sudan imekumbwa na maandamano makubwa tangu mapinduzi ambayo yamekabiliwa na msako mkali ambao umesababisha takribani watu 100 kuuawa na mamia kujeruhiwa ku...

Mwenge wa Uhuru waukataa mradi Mkinga Mwenge wa Uhuru umegoma kuzindua mradi katika kijiji cha Manza wilayani Mkinga baada ya ku…

Mwenge wa Uhuru waukataa mradi Mkinga Mwenge wa Uhuru umegoma kuzindua mradi katika kijiji cha Manza wilayani Mkinga baada ya kutoridhishwa na usalama wa chanzo cha maji na ukosefu wa nyaraka muhimu za mradi huo. Kauli hiyo ameito kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2022 Sahili Geraruma mara baada ya kukagua mradi huo ikiwemo kutembelea chanzo cha maji ambalo ni bwawa pamoja na miundombinu ya kituo cha kuchotea maji. #mwengewauhuru #mradiwamwenge #uzinduzimiradiyamwenge Title of the document BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA HABARI ZA KIMATAFIA TOKA BBC SWAHILI,NA MAGAZETI YOTE YA HAPA NCHINI The post Mwenge wa Uhuru waukataa mradi Mkinga Mwenge wa Uhuru umegoma kuzindua mradi katika kijiji cha Manza wilayani Mkinga baada ya ku… appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/19498/

Serikali imezindua ripoti za utafiti wa utekelezaji wa mpango wa uwiano kati ya elimu ya watu wazima na jamii pamoja na taarifa …

Serikali imezindua ripoti za utafiti wa utekelezaji wa mpango wa uwiano kati ya elimu ya watu wazima na jamii pamoja na taarifa ya utafiti kuhusu mahitaji ujifunzaji. Uzinduzi huu ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa kukuza na kuendeleza elimu ya watu wazima nchini ambao utatekelezwa kwa miaka tisa katika mikoa miwili nchini. #elimuyawatuwazima #elimunamaendeleo #elimunakujitegemea Title of the document BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA HABARI ZA KIMATAFIA TOKA BBC SWAHILI,NA MAGAZETI YOTE YA HAPA NCHINI The post Serikali imezindua ripoti za utafiti wa utekelezaji wa mpango wa uwiano kati ya elimu ya watu wazima na jamii pamoja na taarifa … appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/19500/