Mwenge wa Uhuru waukataa mradi Mkinga Mwenge wa Uhuru umegoma kuzindua mradi katika kijiji cha Manza wilayani Mkinga baada ya ku…

Mwenge wa Uhuru waukataa mradi Mkinga
Mwenge wa Uhuru umegoma kuzindua mradi katika kijiji cha Manza wilayani Mkinga baada ya kutoridhishwa na usalama wa chanzo cha maji na ukosefu wa nyaraka muhimu za mradi huo.
Kauli hiyo ameito kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2022 Sahili Geraruma mara baada ya kukagua mradi huo ikiwemo kutembelea chanzo cha maji ambalo ni bwawa pamoja na miundombinu ya kituo cha kuchotea maji.
#mwengewauhuru #mradiwamwenge #uzinduzimiradiyamwenge
The post Mwenge wa Uhuru waukataa mradi Mkinga
Mwenge wa Uhuru umegoma kuzindua mradi katika kijiji cha Manza wilayani Mkinga baada ya ku… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/19498/
Comments
Post a Comment