Serikali imezindua ripoti za utafiti wa utekelezaji wa mpango wa uwiano kati ya elimu ya watu wazima na jamii pamoja na taarifa …

Serikali imezindua ripoti za utafiti wa utekelezaji wa mpango wa uwiano kati ya elimu ya watu wazima na jamii pamoja na taarifa ya utafiti kuhusu mahitaji ujifunzaji.
Uzinduzi huu ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa kukuza na kuendeleza elimu ya watu wazima nchini ambao utatekelezwa kwa miaka tisa katika mikoa miwili nchini.
#elimuyawatuwazima #elimunamaendeleo #elimunakujitegemea
The post Serikali imezindua ripoti za utafiti wa utekelezaji wa mpango wa uwiano kati ya elimu ya watu wazima na jamii pamoja na taarifa … appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/19500/
Comments
Post a Comment