Skip to main content

Shinda Mkwanja Na Promosheni ya Winter Slot Adventure!

Cheza kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet.

Kamilisha Januari yako na moja ya Sloti ya kasino nzuri zaidi Meridianbet, Winter Slot Adventure inayokupa nafasi ya kushinda zawadi ya bonasi kubwa kwa dau dogo sana la kuanzia TZS 250/=

Winter Slot Adventure inakusubiri kuanzia tarehe 16 Januari 2023 mpaka tarehe 25 Januari 2023! Zawadi ya TZS 7,500,000 si ya kukosa!

Shindana katika mizunguko itakayochezwa, kwa kila mzunguko utajipatia pointi 1. Fanya uwezavyo kushinda, kwasababu zawadi zinakusubiri. Bingwa atajikusanyia kitita cha TZS 2,500,000, nafasi ya 2 TZS 1,700,000, nafasi ya 3 TZS 1,000,000, nafasi ya 4 na 5 TZS 700,000 kila mmoja huku zawadi zikitolewa mpaka nafasi ya 15.

Jinsi ya Kushiriki Winter Slot Adventure

Promosheni ya Winter Slot Adventure itaanza tarehe 16 January 2023 saa 00:00h CET mpaka tarehe 25 January 2023 saa 11:59 p.m CET.

Promosheni itafanyika katika mtindo wa mashindano (madogo) ya wachezaji katika michezo iliyochaguliwa na mtoa huduma wa Microgaming:Gold BlitzAncient Fortunes: Poseidon MegawaysTrojan KingdomFishin Bigger Pots of GoldAMazing Link BountyCash N Riches Megaways777 SuperBig BuildsUPPeaky PigsAssassin Moon

9 Pots of Gold

Nafasi za wachezaji zitatokana na idadi ya mizunguko iliyochezwa kwa sheria zifuatazo:Mzunguko 1 spin = Pointi 1

Dau la chini ni TZS 250

Nafasi za wachezaji 20 wa kwanza itapangwa kulingana na idadi ya mizunguko iliyochezwa katika kipindi chote cha mashindano, na itahakikiwa na kuonekana kila siku katika kurasa ya promosheni mpaka saa 3pm CET.

Orodha ya mwisho ya washindi itawekwa tarehe 26 Januari 2023 mpaka saa 3pm CET, na zawadi ya TZS 7,500,000 itagawanywa kama ifuatavyo:Nafasi ya 1 – TZS 2,500,000Nafasi ya 2 – TZS 1,700,000Nafasi ya 3 – TZS 1,000,000Nafasi ya 4 na 5  – TZS 500,000 kila mmojaNafasi ya 6 mpaka 10 – TZS 150,000 kila mmoja

Nafasi ya 11 mpaka 15 – TZS 100,000 kila mmoja

Washindi wa promosheni watajulishwa Tarehe 26 January 2023 3 pm CET.

Meridianbet wana haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi, endapo alama zote za mchezaji au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote ya wazi au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) bila kujali imesababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu pia udanganyifu au ujanja na wachezaji wengine.

The post Shinda Mkwanja Na Promosheni ya Winter Slot Adventure! appeared first on soka letu.



source https://mjombazecoder.website/65427/

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT