Skip to main content
  • azima usiku tu mnaweza fanya hata asubuhi au mchana) au sehemu tofauti na ile mliyozoea (si kila siku kitandani)
  • Kupata ushauri nasaha kutoka kwa wataalamu wa mambo ya uhusiano na ndoa (marriage counsellors) na hata madaktari wa magonjwa ya akili kwani wao ni weledi zaidi katika masuala haya
  1. Tiba kwa kutumia dawa
  • Iwapo ugonjwa ambao ni kiini cha tatizo hili unafahamika kwa mfano kisukari, magonjwa ya moyo, au magonjwa ya zinaa, unafahamika, ni vema utibiwe ipasavyo
  • Daktari kumbadilishia mhusika dawa zinazoleta madhara kama ya msongo wa mawazo, shinikizo la damu au za saratani n.k.
  • Kutibu tatizo la msongo wa mawazo (depression) na hali ya kuwa na hofu na mhemko (anxiety)
  • Kwa wanawake wanaopata maumivu wakati wa kujamiana au wenye sehemu za siri zilizo kavu (dryness of vagina) au zenye kuwasha (irritation), wanashauriwa kutumia dawa au jelly (vaginal lubricants) zinazolainisha maeneo hayo wakati wa tendo hilo
  • Tiba ya homoni yaani Estrogen Replacement Therapy (ERT) au androgen therapy kwa wale wenye tatizo hilo
  • Na matumizi ya dawa ya Yohimbine Hydrochloride
  • Je, ni kweli kuwa kuna vyakula vinavyosaidia kupunguza tatizo hili?
    Bila shaka, vipo! Ifahamike kuwa vyakula hivi siyo tiba mbadala bali hunasaidia kuongeza ufanisi na ubora kwa wale wenye tatizo la kupungua au kukosa hamu ya kujamiana. Aidha huwafaa hata wale wasio na tatizo hili bali wanataka tu kudumisha uhusiano na wenzi wao. Vyakula hivyo ni pamoja na;
    • Kitunguu swaumu yenye kemikali ya allicin kwa wingi inayoongeza hamu ya kujamiana na uzalishaji shahawa.
    • Figili ambayo huchochea hamu ya kujamiana kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha homoni ya androsterone.
    • Habat al soda (black caraway seeds)
    • Ndizi ambayo ina kimeng’enyo cha bromelain kwa wingi na madini ya potassium ambayo huongeza msisimko wa kujamiana kwa wanaume.
    • Mayai na chocolate
    • Vyakula vyote vyenye vitamin A, B complex, C, na E kama vile nyanya/tungule, pamoja na vyakula vyenye madini ya Zinc, selenium, magnesium, calcium kama vile karanga
    • Mdalasini (Cinammon stick) pamoja na Asali.

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT