Skip to main content

MORRISON KUIVAA GEITA GOLD? Nyota wa Yanga SC, Bernard Morrison amemaliza adhabu yake ya kutocheza mechi tatu za NBC Premier Lea…

MORRISON KUIVAA GEITA GOLD? Nyota wa Yanga SC, Bernard Morrison amemaliza adhabu yake ya kutocheza mechi tatu za NBC Premier League ambayo ilianza Septemba 22, 2022.

Morrison alipewa adhabu hiyo kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi Lusajo Mwaikenda wa Azam FC kwenye mechi ya Septemba 6, iliyomalizika kwa sare ya 2-2 katika dimba la Benjamin Mkapa.

Tayari mchezaji huyo ametua jijini Mwanza akiwa katika msafara wa #Wananchi ulioondoka mapema leo.

Je, kesho ‘atakiwasha’ katika dimba la CCM Kirumba dhidi ya Geita Gold?

Mechi saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD

#AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #NBCPL #SisiNiSoka #SokaLetuBambam

The post MORRISON KUIVAA GEITA GOLD? Nyota wa Yanga SC, Bernard Morrison amemaliza adhabu yake ya kutocheza mechi tatu za NBC Premier Lea… appeared first on soka letu.



source https://mjombazecoder.website/58543/

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT