Kesho Jumatano wananchi @yangasc watakuwa Dimba la Mkapa wakiwa na kazi moja tu ya kupata ushindi dhidi ya #ClubAfricain kutoka …
Kesho Jumatano wananchi @yangasc watakuwa Dimba la Mkapa wakiwa na kazi moja tu ya kupata ushindi dhidi ya #ClubAfricain kutoka Tunisia katika mechi ya mtoano kufuzu hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika.
Mechi hii itapigwa kuanzia Saa 10:00 Jioni na kuruka mbashara kupitia #AzamSports1HD.
Kwa Kifurushi cha shilingi 23,000 unatazama mchezo huu.
#SisiNiSoka #Azammaxweb #CAFCC

The post Kesho Jumatano wananchi @yangasc watakuwa Dimba la Mkapa wakiwa na kazi moja tu ya kupata ushindi dhidi ya #ClubAfricain kutoka … appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/jYkP60T
Comments
Post a Comment