Katika kuendelea kuwa fit kwa ajili ya NBCPL na mechi za kimataifa wekundu wa msimbazi @simbasctanzania leo Jumatano watakuwa di…
Katika kuendelea kuwa fit kwa ajili ya NBCPL na mechi za kimataifa wekundu wa msimbazi @simbasctanzania leo Jumatano watakuwa dimba la Amaan Zanzibar kucheza mechi ya kirafiki na #Kipanga.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 2:15 usiku na kuruka LIVE kupitia #AzamSports2HD.
#SisiNiSoka #AzamTVSports #SokaLetuBambam

The post Katika kuendelea kuwa fit kwa ajili ya NBCPL na mechi za kimataifa wekundu wa msimbazi @simbasctanzania leo Jumatano watakuwa di… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/56001/
Comments
Post a Comment