Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu, amesema serikali inatarajia kuanza Kampeni ya awamu ya tatu ya kutoa matone ya chanjo ya Polio …

Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu, amesema serikali inatarajia kuanza Kampeni ya awamu ya tatu ya kutoa matone ya chanjo ya Polio kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano kuanzia Septemba 1 hadi 4 Mwaka huu 2022.

The post Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu, amesema serikali inatarajia kuanza Kampeni ya awamu ya tatu ya kutoa matone ya chanjo ya Polio … appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/6YTZ9CO
Comments
Post a Comment