Skip to main content

Wiki ya wapenda soka, Odds Nono kwa mechi zote Unazipata Meridiabet

Hii ni wiki ya Copa del Rey, EPL, SERIE A, mechi kubwa Zaidi ni usiku wa Alhamis pale ambapo Chelsea na Mamchester City watakipiga. Meridianbet wameamua kukupa furaha mteja wao kwa kumwaga Odds nono kwenye mechi zote.

Hizo Odds Nono za Meridianbet Zinapatikanaje?

Ukibashiri mechi za wiki hii kwenye mashindano mbalimbali utajionea jinsi ambavyo Odds Nono kutoka Meridianbet zilivyoongezwa mara nyingi Zaidi.

AC Milan wakiwa kwenye sehemu nzuri ya msimamo wa Serie A wakiwa nafasi ya 2 wakiwa wamepoteza mechi mbili tu kati ya 18 walizocheza, watakuwa ugenini kucheza dhidi ya Sportiva waliopo nafasi ya 12, wakipoteza michezo 6. Meridianbet wakongwe wa michezo ya kubashiri jiunge sasa na Mabingwa.

AS Roma ya Jose Mourinho wakiwa kwenye nafasi ya 7, watakutana na Bologna wa nafasi 11, Mourinho anaaminika Zaidi kwenye timu yake lakini safari hii anaenda kukutana na timu sumbufu kwenye Serie A. Odds nono zimejaa kwenye mechi hii. Bonyeza hapa kuona.

Juventus atakipiga na Cremonese mwenye Odds nono ya 4.90 huku sare ina 3.62 na ushindi kwa Juventus una Odds nono ya 1.71. Unasubiri nini Rafiki, weka ubashiri wako. Pia Lecce watakipiga na Lazio mapema sana mida ya jioni ushindi n mkubwa kwenye mechi hii.

Kwenye EPL moto utawaka ni Southampton dhidi ya Nottingham Forest, huku upande wa pili ni Aston Villa watakipiga na Wolves ana Odds nono ya 3.72 na ushindi kwa Villa ana 2.01. Jiunge na Meridianbet wababe wa Odds nono.

Mechi kubwa ya kukata na shoka ni Inter Milan dhidi ya Napoli ni mechi ya kufungua mwaka 2023, Napoli anaongoza Ligi huku Inter anashika nafasi ya 5, Odds nono ziko hivi Inter ana 2.35 kwa ushindi, Sare ina 3.38 na Ushindi kwa Napoli una 2.94 unaanzaje kuzikoza hizi kwa mfano.

Ukitupa jicho kule Hispania kuna mechi za Copa Del Rey ni Barcelona akiwa ugenini kukipiga na Intercity, Real Oviedo vs Atletico Madrid, Sevilla atakutana na Linares ugenini. Bashiri na Meridianbet ujizolee Odds bomba.

Mechi ya Kibabe ni Chelsea vs Man City

Ni katika dimba la Stamford Bridge sehemu itakayoikutanisha miamba ya EPL, ni vita ya mbinu kati ya Graham Potter na Pep Guardiola mbinu za kocha gani zitafanikiwa mbele ya mwenzake? Chelsea ana odds nono ya 4.90 huku sare ikiwa na 3.92 na ushindi kwa City una 1.65. Bashiri hapa.

The post Wiki ya wapenda soka, Odds Nono kwa mechi zote Unazipata Meridiabet appeared first on soka letu.

Via soka letu https://ift.tt/QmeZ9fS

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT