Skip to main content

Sloti ya Expanse Kasino na Meridianbet Ushindi Mkononi mwako!!

Mwezi Januari ni maarufu sana kuwa ni mwezi dume, una mambo mengi mara ulipe ada, unadaiwa kodi ya nyumba, biashara yako imeyumba, huna mtaji usiwaze mtu wangu wa nguvu, huu hapa mchongo wa kulainisha Januari yako kutoka Meridianbet ambao wana Sloti bomba kwa ajili yako.

Meridianbet wanaelewa ugumu uliopo kwenye mwezi huu dume na ndio maana wamekuletea Promosheni kabambe ya EXPANSE KASINO itakayokupa nafasi ya kujishindia mkwanja mrefu wa TZS 800,000/= kwenye michezo mingi ya kasino mtandaoni ya Meridianbet.

Jinsi ya Kushiriki kwenye Promosheni hii

Ni rahisi sana wala huhitaji kutumia nguvu kubwa, ni kama kumsukuma mlevi vile hata kwa kutumia kidole anasogea tu. Cha kufanya zingatia yafuatayo ili kuwa moja ya wachezaji wazuri wa Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet:

• Promosheni ya mashindano ya Expanse – itafanyika katika kipindi cha Januari 05 mpaka Januari 20-2023.

•Promosheni hii itahusisha wachezaji waliosajiliwa kwenye APP ya simu na tovuti ya  www.meridianbet.co.tz

•Wakati wa ofa, wachezaji hushindana kulingana na idadi ya mizunguko inayochezwa kwenye michezo ya watoa huduma ya Expanse. Michezo ambayo inahusika wakati wa mashindano ni: Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, Th Book of Eskimo, Wild icy fruits.

•Orodha ya nafasi iko ndani ya mchezo na itaonekana saa 24 baada ya mwisho wa mashindano.

• Kulingana na orodha ya mwisho ya nafasi, wachezaji 5 walioshika nafasi za juu watatunukiwa bonasi za kasino katika viwango vifuatavyo:

       •1. Nafasi ya Kwanza       250,000 TZS

       •2. Nafasi ya Pili               200,000 TZS

       •3. Nafasi ya Tatu            150,000 TZS

       •4. Nafasi ya nne              100,000 TZS

       •5. Nafasi ya Tano            100,000 TZS

• Ili bonasi ya kasino iliyokabidhiwa ihamishwe kwa akaunti ya pesa ya mchezaji, ni muhimu kuiwekeza mara 30 kwenye mchezo wowote wa yanayopangwa wa mtoa huduma wa Expanse. Ushindi wa juu unaoweza kutolewa ni 500,000TZS.

•Ofa hii ni halali kwa kila mtumiaji, anwani ya IP na kaya.

•Kwa kusajili akaunti, wachezaji wanakubali sheria na masharti yote ya ofa.

•Meridian inahifadhi haki ya kubadilisha sheria za ofa wakati wowote, na pia kusitisha ofa.

•Sheria na Vigezo Kuzingatiwa.

The post Sloti ya Expanse Kasino na Meridianbet Ushindi Mkononi mwako!! appeared first on soka letu.

Via soka letu https://ift.tt/gMcznb5

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT