Skip to main content

Siku Hizi Ukijisajili Meridianbet Ukaweka Pesa Unashinda Bonasi Kubwa.

Shinda Mpaka TZS 1,000,000 na Meridianbet!

Ofa za Meridianbet zinaendelea kutaradadi katika kila kona, ofa baada ya ofa, promosheni baada ya promosheni katika mwezi wenye mambo mengi. Nafasi yako ya kujishindia mgao wako wa bonasi ya TZS 3,000,000 kutoka hapa nyumba ya Odds bomba.

Jisajili, weka pesa katika akaunti yako na cheza sasa uwe mmoja ya washindi wa mgao wa bonasi wa TZS 3,000,000 kwaajili ya kucheza michezo mbalimbali katika tovuti yetu.

Jisajili kwenye APP au tovuti ya www.meridianbet.co.tz kuanzia tarehe 01.01.2023 mpaka tarehe 20.01.2023, na uweke angalau TZS 5,000 na ubeti michezo mbalimbali na michezo ya kasino ujiwekee nafasi ya kushinda bonasi ya pesa ya TZS 1,000,000

Unavyoweka pesa zaidi, kubeti na kuzungusha – nafasi ya kushinda moja ya zawadi zetu inaongezeka.

Zawadi zitatolewa kama ifuatavyo:

Nafasi ya 1 – TZS 1,000,000 Bonasi ya pesa

Nafasi ya 2 – TZS 500,000 Bonasi ya pesa

Nafasi ya 3 – TZS 300,000 Bonasi ya pesa

Nafasi ya 4 – TZS 200,000 Bonasi ya pesa

Nafasi ya 5 mpaka 24 – TZS 50,000 Bonasi ya pesa

Vigezo na Masharti:

Promosheni itadumu kuanzia tarehe 01.01.2023 mpaka tarehe 20.01.2023 saa 5:59 usiku

Washindi watatangazwa tarehe 21.01.2023

Kwa kujisajili na www.meridianbet.co.tz wateja watakuwa wamekubaliana na vigezo na masharti ya promosheni.

Ofa hii ni kwaajili ya mchezaji mmoja au IP adress mmoja pekee.

Meridianbet wana haki ya kutotoa zawadi, kusitisha au kubadili sheria za prmosheni wakati wowote.

The post Siku Hizi Ukijisajili Meridianbet Ukaweka Pesa Unashinda Bonasi Kubwa. appeared first on soka letu.

Via soka letu https://ift.tt/Xhi8ZB5

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT