Skip to main content

YULE MSHINDI WA BAJAJ YA MERIDIANBET HUYU HAPA…NI MKULIMA KUTOKA TANGA…..

YULE MSHINDI WA BAJAJ YA MERIDIANBET HUYU HAPA…NI MKULIMA KUTOKA TANGA….. | Soka La Bongo

Ni kijana wa kitanzania ambaye ni mzaliwa na mkazi wa Handeni Tanga Didas Shauri Yeremia maarufu kwa jina la Viktoria, alishindwa kujizuia furaha yake aliyokuwa nayo baada ya kufika Makao Makuu ya Meridianbet.

Mfalme wa kubeti kwa kitochi, ambaye pia ni mshindi wa promosheni kubwa ya SHINDA BAJAJI, iliyokuwa ikichezeshwa kwa muda na hatimaye BINGWA alipatikana na kukabidhiwa bajaji yake mpyaa kabisa.

Nini Kilimfanya Afurahi mpaka Kulia

Alipoulizwa ni kitu gani kilimsibu Didas alisema kuwa mwanzoni alihisi ni matapeli na hivyo hakuwa akiamini kama ni kweli.

“Kwakweli nashindwa niseme nini ila mwanzoni nilijua kuwa ni matapeli tu, mpaka pale nilipomtuma ndugu yangu kwanza kuhakikisha na kugundua kuwa ni kweli mimi ndio mshindi wah ii bajaji”-Didas A.K.A Viktoria

Ni wapi Alipata Taarifa?

“Nilipokea meseji kwenye simu yangu kuhusu Promosheni hii mpya kuwa imeanza, nami sikuwahi kubeti ila nikasema ngoja nijaribu bahati yangu, na kweli siku nikiwa nipo kwenye shughuli zangu za kila siku nikapigiwa simu kuwa mie ndiyo mshindi. Nilifurahi sana”

Ataitumiaje hii bajaji?

“Mimi nafanya shughuli za kilimo, kupitia bajaji hii itanifanya kuongeza kipato changu cha kila siku na kurahisha Maisha yangu”

Neno lake kwa wengine wasioamini Promosheni za Meridianbet.

“Napenda kuwasihi watanzania kuendelea kubashiri na kuichagua Meridianbet katika michezo ya kubashir kwani wana huduma nzuri za uhakia na ukweli wala hawana rongorongo” -Didas

Hii hapa nyingine usikubali ikupite, mwezi Disemba ni mwezi wa kufurahi, hivyo kuifanya siku yako iende poa, Meridianbet wanakuletea promosheni ya SAKA MBUZI NA KITOCHI, ukibeti bila bando kwa dau la kuanzia TZS 1,000/= Promosheni hii itadumu kwa mwezi huu wa Disemba tu. Piga *149*10# kubeti sasa.

 

The post YULE MSHINDI WA BAJAJ YA MERIDIANBET HUYU HAPA…NI MKULIMA KUTOKA TANGA….. appeared first on soka letu.

Via soka letu https://ift.tt/oruDh5S

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT