Skip to main content

VIDEO:SABABU YA MABADILIKO KIKOSI YANGA/MZIZE AONGEZA MATATIZO

KOCHA msaidizi wa Yanga,Cedrick Kaze ambaye ameongoza kikosi hicho kupata ushindi wa mabao 8-0 dhidi ya Kurugenzi mchezo wa raundi ya Pili na amebainisha kuwa mshammbuliaji wa timu hiyo Clement Mzize alikuwa anakaa kwenye nafasi na anaongeza hali ya kujiamini huku akibainisha kuwa kunakuwa na ongezeko la machaguo lakini kiwango hakikuwa bora

The post VIDEO:SABABU YA MABADILIKO KIKOSI YANGA/MZIZE AONGEZA MATATIZO appeared first on Saleh Jembe.

The post VIDEO:SABABU YA MABADILIKO KIKOSI YANGA/MZIZE AONGEZA MATATIZO appeared first on soka letu.

Via soka letu https://ift.tt/0r7hbYu

Comments