Skip to main content

USIMALIZE MWAKA KINYONGEE…KAMATA MCHONGO HUU WA UHAKIKA KUTOKA MERIDIANBET…

USIMALIZE MWAKA KINYONGEE…KAMATA MCHONGO HUU WA UHAKIKA KUTOKA MERIDIANBET… | Soka La Bongo

Promosheni ya Expanse Kasino

Kama kawaida wakali wa kasino BOMBA za mtandaoni kampuni ya Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse studio wanakuletea mpaka kiganjani mwako Promosheni ya Expanse kasino itakayoanza kutimua vumbi Disemba Tarehe 19, 2022 mpaka Disemba 25. 2022, uwanja wa Promosheni hii ni tovuti ya www.meridianbet.co.tz  pamoja APP ya simu.

Hii sio ya kukosa kabisa kwani Meridianbet inakupa nafasi ya kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania mgao wa TZS 800,000/= kwenye Promosheni ya Expanse kasino, njia ni rahisi ya kushiriki cha kufanya fuata vigezo vifuatavyo.

Namna ya Kushiriki Promosheni ya Expanse Kasino

  • Ili kushiriki Promosheni ya Expanse kasino hakikisha umesajiliwa kwenye APP na tovuti ya meridianbet.co.tz

  • Wakati wa promosheni hii, wachezaji (washiriki) watashindana kulingana na idadi ya mizunguko inayochezwa kwenye michezo ya mtoa huduma ya Expanse.

  • B: Nafasi ya mchezaji itaonekana masaa 24 baada ya Promosheni kukamilika.

  • Ni muhimu kuzungusha mara 30 bonasi yako ya kasino uliyopewa kwenye michezo ya mtoa huduma wa Expanse.

  • Ushindi wa juu kutolewa ni TZS 5OO,000/=

  • Meridianbet ina haki ya kubadili sheria au kusitisha Promosheni wakati wowote wa mashindano.

Mchanganuo wa Zawadi kwa Washindi

Zawadi kwa washindi watakaopatikana mwishoni mwa Promosheni ya Expanse kasino, zitatolewa kulingana na nafasi zao kwa mshindi wa kwanza hadi wa tano.

Nafasi ya tano atapata 100,000/= TZS

Nafasi ya nne- 100,000/= TZS

Nafasi ya tatu- 150,000/= TZS

Nafasi ya pili- 200,000/= TZS

Nafasi ya kwanza- 250,000/= TZS

Unasubiri nini kuanza safari yako ya ushindi kibingwa!! Ni Meridianbet pekee inakuhakikishia ushindi kwa kukupa Bonasi, Odds kubwa na Promosheni za kipekee. Sio hivyo tu, Kasino ya mtandani ya Meridianbet yenye shindano la Expanse Kasino inakupa nafasi ya kushinda mihela mingi. Jiunge sasa kupitia  https://www.meridianbet.co.tz na upate bonasi ya bure ya kuanzia.

The post USIMALIZE MWAKA KINYONGEE…KAMATA MCHONGO HUU WA UHAKIKA KUTOKA MERIDIANBET… appeared first on soka letu.



source https://mjombazecoder.website/64755/

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT