Skip to main content

Promosheni bomba ya THE MAGICAL 22 kutoka Meridianbet inakusubiri!

Muda muafaka ni mwisho wa mwaka, katika michezo iliyochaguliwa ya Pragmatic Play! Kuanzia Desemba 26 mpaka Januari 4, 2023, shiriki katika promosheni ya shindano la kasino ambayo ina zawadi kubwa yenye kusisimua ya TZS 12,000,000!

Bingwa ataibuka na kitita cha TZS 3,800,000, mshindi wa pili 1,800,000 TZS na nafasi ya tatu ataondoka na 1,300,000 na pia zawadi zitatolewa kwa washindi mpaka nafasi ya 50!

Wakati ni sasa, anza mchezo wako, Kila la Kheri!

The Magical 22

Promosheni hii itafanyika katika mtindo wa shindano, kuanzia Desemba 26 saa 06:00 usiku mpaka Januari 4, 2023 saa 05:59 usiku. Wateja pekee wa Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet watashiriki kwenye shindano hili.

Promosheni itahusisha michezo ya sloti ifuatayo iliyotengenezwa na Pragmatic Play:

Cash Patrol

Christmas Big Bass Bonanza

Christmas Carol Megaways

Gates of Olympus

Great Rhino Megaways

Sugar Rush

Sweet Bonanza

The Dog House Megaways

Mshindi Anapatikanaje?

Nafasi za wachezaji katika shindano zitazingatia “Kiasi cha juu cha ushindi katika mzunguko mmoja (kulingana na thamani ya dau) – Kiwango cha juu kilichozidishwa (Highest hit multiplier)”. Kiwango cha juu cha malipo kwenye mizunguko yote. (Beta Value)

Mfano, mchezaji aliyecheza dau la TZS 500 anapata faida ya TZS 500,000, mchezaji atakuwa na pointi 1,000, i.e atakuwa amepata pointi 1,000 au faida ya TZS 500,000/thamani ya mzunguko TZS 500 = pointi 1,000)

Dau la chini kushiriki kwa mzunguko ni TZS 500 au sawa na viwango vingine vya pesa.

Mizunguko pekee iliyocheza kwa pesa halisi itashiriki kwenye shindano.

Nafasi ya 1 – 3,800,000 TZS

Nafasi ya 2 – 1,800,000 TZS

Nafasi ya 3 – 1,300,000 TZS

Nafasi ya 4 na 5 – 800,000 TZS kila mmoja

Nafasi ya 6 mpaka ya 10 – 250,000 TZS kila mmoja

Nafasi ya 11 mpaka ya 15 – 125,000 TZS kila mmoja

Nafasi ya 16 mpaka ya 20 – 100,000 TZS kila mmoja

Nafasi ya 21 mpaka ya 50 – 60,000 TZS kila mmoja

Kanuni za Promosheni ya The Magical 22

Wachezaji wataona nafasi zao, pamoja na sheria na zawadi za shindano katika michezo iliyoorodheshwa kushiriki kwa kubofya katika kitufe cha shindano. 

Zawadi zitalipwa kama pesa taslimu moja kwa moja kwenye akaunti ya mchezaji, na baada ya shindano kukamilika na kila mchezaji atataarifiwa kupitia ujumbe.

Zawadi zitakuwa tayari kutolewa au kutumika kwenye ofa nyingine katika tovuti yetu.

Katika kesi ya ulaghai, matatizo ya kiufundi, pamoja na mambo yaliyo nje ya uwezo wa muandaaji, ambayo yanaweza kuathiri uadilifu na utendaji kazi mzuri, Muandaaji ana haki ya kutotoa zawadi, na kufuta ushindi uliotokana na mchezo ambao unyanyasaji umehusika.

N.B: Meridian na Pragmatic Play wana haki ya kubadili sheria au kufuta au kubadili promosheni wakati wowote.  Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

The post Promosheni bomba ya THE MAGICAL 22 kutoka Meridianbet inakusubiri! appeared first on soka letu.

Via soka letu https://ift.tt/6ugb1UT

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT