Skip to main content

Odds za Meridianbet FAINALI ya Kombe la Dunia Zikoje?

Ule msemo wa mtoto hatumwi dukani utatimia leo jioni pale katika dimba la Lusail ambalo ndio dimba kubwa Zaidi nchini Qatar lenye uwezo wa kuchukua mashabiki takribani 90,000 kwa wakati mmoja. Ni fainali ya kombe la dunia kati ya Argentina vs Ufaransa.

Huenda ukawa unajiuliza swali moja ni wapi utapata ODDS kubwa na bomba basi jibu lako limejibwa na meridianbet kwa kuweka Odds kubwa na bomba Zaidi kitu ambacho hakijawahi kutokea na hukipati kwingine. Kupitia machaguo spesho ya kombe la dunia utakuta machaguo ya aina tofauti kwenye mechi hii kubwa ya dunia.

Machaguo spesho ya Meridianbet Mechi hizi.

ARGENTINA V/S UFARANSA 18 Disemba 2022

Kiwango cha ushindi: Hii ni fainali ya kisasi kwa Argentina wakitaka kulipiza kile kipigo 4-3 walichopokea kutoka kwa Ufaransa pale Urusi mwaka 2018, hivyo chaguo lako la kwanza unaweza kubashiri kiwango cha ushindi kiweje baada ya filimbi ya mwisho. Argentina ashinde kwa utoafauti wa goli moja ina 4.40 ni sawa tu na Ufaransa, goli mbili ina odds kubwa na bomba ya 8.60 pia sawa na Ufaransa.

Mfungaji wa muda wowote: Huhitaji hata kuwaza sana Argentina kuna Messi, Alvarez, Molino na wengine kule Ufaransa kuna Mbappe, Giroud, Dembele, Griezmann, Meridianbet wamemwaga ODDS kubwa hapa Messi ana 2.64 huku Giroud akiwa na 3.54, Mbappe ana 2.83, wakati huo Julian Alvarez aliyetupia bao mbili nusu fainali ana 3.57, Bonyeza hapa kuona Zaidi.

Mfungaji wa Kwanza: Hata hapa huhitaji kuumiza kichwa kiasi hicho meridianbet wamekurahisishia kazi sana, Messi Lionel wamempa 5.60, Mbappe 6.00 huku Antoine Griezmann ana 11, kijana wa Man City Julian Alvarez ana 8.00

Njia ya Ushindi: Kwenye kipengele hiki wote wamepewa ODDS sawa Argentina vs Ufaransa, kila mmoja ashinde muda wa kawaida 2.60, baada ya muda wa nyongeza ina ODDS kubwa ya 11, huku ukiona ngoma inaenda kwenye matuta na chama lako litashinda ina 9.80. Bofya hapa kubeti kipengele hiki kisha usubiri kucheka baada ya mechi.

Idadi ya kadi: Tangu kuanza mashindano haya Argentina amepokea kadi nyingi haswa kwenye mchezo wao na Uholanzi, hata kwenye fainali dhidi ya Ufaransa lolote linawezekana. Unaweza kubashiri idadi ya kadi kabisa Argentina apate kadi nyingi kuliko Ufaransa ina 2.22 huku Ufaransa akipata kadi chache ina 2.60.

Idadi ya jumla ya kadi kwa timu zote: Argentina apewe chini ya kadi 2 ina odds ya 2.75, kadi mbili kamili 3.05, kadi tatu ina 3.95, ila kadi 4+ ina 4.80. Kwa upande wa Ufaransa awe na kadi chini ya mbili 2.44, kadi mbili kamili 3.00, kadi 3 ina odds 4.30 na kadi 4+ ina 5.80.

Mchezaji kutoa Pasi ya goli: Machaguo spesho ya meridianbet yanakurahisishia kazi ya kubashiri, kwenye kipengele cha wachezaji kutoa pasi za goli unaweza kubeti. Mchaganuo uko hivi Lionel Messi amekuwa na takwimu nzuri za kutengeneza magoli kwa kupiga pasi za mwisho ODDS zake ni 3.75 atoa pasi moja na kuendelea, ila zikianza mbili na kuendelea ODDS zake ni 20. Bonyeza hapa kuona Zaidi.

NB: Hauna bando? Usiwaze unaweza kubeti na kitochi bila bando kwa kupiga *149*10# kisha unaweka ubashiri wako, hapa sasa mbali na ushindi wa kawaida, unaweza kujishindia pia MBUZI WA KITOWEO cha Sikuu za Krismas na Mwaka mpya.

The post Odds za Meridianbet FAINALI ya Kombe la Dunia Zikoje? appeared first on soka letu.

Via soka letu https://ift.tt/z8wb162

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT