Skip to main content

MTAMBO WA KUMWAGA MAJALO YANGA KUPEWA DILI JINGINE

HUENDA mabosi wa Yanga wakamuongezea dili jingine mzee wa kumwaga maji ndani ya kikosi hicho Jesus Moloko.

Nyota huyo mkataba wake unatarajia kugota ukingoni mwishoni mwa msimu huu hivyo kama hataongezewa anaweza kujiunga na timu nyingine bure.

Moloko ni namba moja kwa kutengeneza pasi za mwisho ndani ya Yanga msimu wa 2022/23 akiwa ametoa jumla ya pasi tatu.

Yanga imefunga mabao 25 baada ya kucheza mechi 14 ni namba moja kwenye msimamo wa ligi inafuatiwa na Azam FC ambayo ina pointi 35 ikiwa imecheza mechi 15.

Mchezo ujao kwa Yanga ni dhidi ya Namungo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Majaliwa, Desemba 7,2022.

Nasreddine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga hivi karibuni aliweka wazi kuwa kila mchezaji ndani ya kikosi ana umuhimu wake.

“Kila mchezaji kwenye kikosi ana umuhimu hivyo akikosekana mmoja huwa kunakuwa na shida kidogo licha ya kwamba lazima kila mmoja atimize majukumu yake,”.

The post MTAMBO WA KUMWAGA MAJALO YANGA KUPEWA DILI JINGINE appeared first on Saleh Jembe.

The post MTAMBO WA KUMWAGA MAJALO YANGA KUPEWA DILI JINGINE appeared first on soka letu.



source https://mjombazecoder.website/64219/

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT