Skip to main content

EPL Kutimua Vumbi Kuanzia Leo Boxing day, Odds ni bombaa! Meridianbet

Wakati ukimalizia kula nyama na pilau la sikukuu ya Krismasi, itakuwa siku nzuri sana kwako mpenzi wa soka pale ambapo utafungua boksi la zawadi kutoka Meridianbet likiwa na Odds Bombaa!! Kwenye mechi zote za EPL kuanzia leo 26 Desemba 2022. Ni Chelsea, Arsenal, Manchester United Man City, Newcastle, Tottenham zitakuwa dimbani.

Odds za Meridianbet zikoje?

Mechi za Disemba 26/2022

Arsenal ya Mike Arteta ikiwa ndio vinara wa Ligi mpaka sasa, watarudi uwanjani kwa mara nyingine kwenye dimba lao la nyumbani ‘Fly Emirates’ watakuwa na kibarua kizito dhidi ya Westaham United. Odds bomba za mechi hii unazipata hapa.

Aston villa katika viunga vyao vya Villa Park hawatakuwa na shughuli nyepesi kwani watakuna na Liverpool ya Klopp ambayo imetoka kujeruhiwa na Man City kwenye mechi ya Carabao.  Villa ANA Odds ya 4.01 ashinde, sare ina 3.82, ushindi kwa Liverpool una thamani ya Odds 1.81 ni meridianbet pekee unazipata odds kubwa kiasi hiki.

Mechi kali kabisa hii ni timu iliyopo nafasi ya 13 ni Leicester City vs Newcastle waliopo nafasi ya 3, na ushinid kwa Leicester una odds ya 3.19 dhidi ya 2.20 ya Newcastle. Bashiri hapa kibingwa Zaidi ufurahie msimu huu wa Sikukuu.

Brentford atakuwa nyumbani kukipiga na Tottenham waliopo nafasi ya 4, wakati huo wenyeji wakiwa nafasi ya 10, nafasi ya ushindi kwa timu hizi unaionaje? Wakati ukitafakari hilo, mchezo mwingine utawakutanisha uwanjani Everton na Wolves hapa napo ni kuna hela iko nje nje. Tazama Odds bomba na kubwa kutoka Meridianbet hapa.

 

Mechi za Disemba 27-28/2022

Wakati wewe unawaza ni wapi utapata pesa za kutanua sikukuu yam waka mpya! Meridianbet wanakwambia ushindi ni rahisi Zaidi kama ukibeti na kitochi au bila bando kwa kupiga *149*10# au laa tembelea tovuti yao ya www.meridianbet.co.tz kuweka ubashiri kwenye mechi za EPL wiki hii.

Chelsea watakuwa wenyeji wa Bournemouth kwenye dimba la Stamford Bridge, Chelsea ana odds bomba ya 1.32 amfunge Bournemouth mwenye 8.62, na kama unaiona sare basi odds yake ni 5.29

Manchester United watakuwa na kibarua cha kuwafunga Nottingham Forest ambao mechi za nyuma 5, ni wameshinda 2 na kufungwa mara 3, huku United wameshinda 3, na kupoteza 2, takwimu hazina utofauti sana. Bonyeza hapa kuweka utabiri wako kirahisi Zaidi.

Funga kazi ni pale ambapo kifaru cha mabao kutoka jijini la Manchester Erling Haaland atarudi uwanjani nasafari hii atakuwa ugenini kuona kama ataendelea kuweka rekodi yake ya kufunga karibu kila mechi watakapokutana na Leeds United, ni Man City vs Leed odds ni kubwa na bombaa pale Meridianbet.

NB: Hauna bando? Usiwaze unaweza kubeti na kitochi bila bando kwa kupiga *149*10# kisha unaweka ubashiri wako. Mbali na ushindi wa kawaida, pia unaweza kujishindia MBUZI WA KITOWEO cha Sikukuu hizi za mwisho wa mwaka.

The post EPL Kutimua Vumbi Kuanzia Leo Boxing day, Odds ni bombaa! Meridianbet appeared first on soka letu.

Via soka letu https://ift.tt/PuLaRQG

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT