Skip to main content

ENDORPHINE FAIRYTALE -SHANGWE LA SLOTI DISEMBA HII! CHEZA NA UJISHINDIE ZAWADI KABAMBE ZA FEDHA…!

ENDORPHINE FAIRYTALE -SHANGWE LA SLOTI DISEMBA HII! CHEZA NA UJISHINDIE ZAWADI KABAMBE ZA FEDHA…! | Soka La Bongo

Amini mwezi Desemba ni mwezi wa maajabu ya kujishindia mawindo yako kirahisi! Waandaaji wa michezo ya sloti Endorphine wanaopatikana Meridianbet pekee wanakuletea zawadi kibao za mkwanja.

Meridianbet wanadhihirisha tena kuwa wao ndio sehemu pendwa kwa wachezaji wa sloti. Hii inachangiwa na promosheni nyingi ambazo wachezaji watafurahia Desemba hii.

Endorphin’s FAIRY TALE ni ushaidi tosha! Kama wewe ni mpenzi wa michezo ya sloti unahitaji kucheza sloti moja kati ya sloti 12 zilizochaguliwa kutoka kwa waandaaji hawa kuanzia Desemba 5 mpaka 11.

Zawadi ya TZS 5,000,000/= Kushindaniwa.

Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet na uianze safari yako ya ushindi. Kama bado haujafanya hivyo, hii ndio fursa yako kubadili hilo. JISAJILI NA UPOKEE BONASI YAKO!

Jisajili sasa hapa na ujipatie TZS 10,000/= kama bonasi ya kasino na TZS 20,000/= kama bonasi ya michezo ya kubeti.

Jinsi ya kujipatia zawadi nono?

Chagua michezo ya sloti kutoka Endorphin’s FAIRY TALE na ujishindie. Kwa kila mzunguko wa TZS 500 au zaidi utajishindia pointi ambazo zitakupa fursa ya kuwa miongoni mwa wachezaji bora.

Jumla ya wachezaji 10 bora watajipatia zawadi, huku mshindi wa kwanza wa Endorphin’s FAIRY TALE atajishindia kitita cha TZS 1,850,000/=

Ni wakati wa dozi ya furaha kutoka Meridianbet! Jiunge na mchezo mkubwa wa sloti, cheza mchezo wako!

Meridianbet kasino ndio kasino bora ya mtandaoni Afrika Mashariki na Kati!

 

The post ENDORPHINE FAIRYTALE -SHANGWE LA SLOTI DISEMBA HII! CHEZA NA UJISHINDIE ZAWADI KABAMBE ZA FEDHA…! appeared first on soka letu.



source https://mjombazecoder.website/64220/

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT