MWAMBA Emiliano Martinez kipa wa Timu ya Taifa ya Argentina aliokoa penalti mbili kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali.
Ni ile iliyopigwa na beki kitasa wa Timu ya Taifa ya Uswisi Virgil van Dijk na Berghuis, jambo lililowapa mlima mzito kuweza kutusua kwenye hatua hiyo.
Argentina ya Lionel Messi inatinga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa jumla ya penalti 4-3 baada ya dakika 120 kumeguka ngoma kuwa Uswisi 2-2 Argentina.
Timu hiyo itakutana na Timu ya Taifa ya Croatia iliyoshinda mbele ya Timu ya Taifa ya Brazil kwenye hatua ya robo fainali.
The post ARGENTINA YA LIONEL MESSI YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA appeared first on Saleh Jembe.
The post ARGENTINA YA LIONEL MESSI YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/USmrZyb
Comments
Post a Comment