NBC Premier League leo Ijumaa. Saa 10:00 Jioni, Geita Gold watakuwa uwanja wa nyumbani Nyankumbu wakiwakaribisha KMC. Katika m…
NBC Premier League leo Ijumaa.
Saa 10:00 Jioni, Geita Gold watakuwa uwanja wa nyumbani Nyankumbu wakiwakaribisha KMC.
Katika msimamo timu hizi zimelingana alama wote wana alama 13.
Leo ni Geita ama KMC nani kuondoka na alama tatu?
Kwa kifurushi cha Shilingi 23,000 unatazama mchezo huu mbashara kupitia #AzamSports1HD.
#SisiNiSoka #Azammaxweb #NBCPL

The post NBC Premier League leo Ijumaa. Saa 10:00 Jioni, Geita Gold watakuwa uwanja wa nyumbani Nyankumbu wakiwakaribisha KMC. Katika m… appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/OBHUz0J
Comments
Post a Comment