Mshambuliaji wa Poland, Robert Lewandowski amefunga bao la kwanza kihistoria kwenye michuano ya kombe la Dunia na kufikia rekodi…
Mshambuliaji wa Poland, Robert Lewandowski amefunga bao la kwanza kihistoria kwenye michuano ya kombe la Dunia na kufikia rekodi ya Pele ya magoli 77 kwenye michuano ya Kimataifa.
Lewandowski aliipatia Poland bao la pili mnamo dakika ya 82 katika mchezo wa pili wa kundi C wa kombe la Dunia dhidi ya Saudi Arabia.
KitengeSports

The post Mshambuliaji wa Poland, Robert Lewandowski amefunga bao la kwanza kihistoria kwenye michuano ya kombe la Dunia na kufikia rekodi… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/63172/
Comments
Post a Comment