Skip to main content

MAN CITY, CHELSEA KUKIWASHA WIKI HII KOMBE LA CARABAO…MAN U, ARSENAL KAZINI

Wiki hii Ligi zitaendelea kwa baadhi ya nchi kama Bundesliga, Serie A, na Laliga huku EPL ikisimama kupisha mashindano ya Carabao Man City Vs Chelsea, Liverpool, Asrenal na Man Utd watakuwa kazini.  Odds bomba na kubwa, zipo Meridianbet pekee.

 

Ni Bundesliga ligi ngumu yenye ubabe mwingi, itahusisha michezo kadhaa, ni Dortmund atakuwa ugenini dhidi ya Wolfsburg ambao hawa wote wakikutana huwa hapatoshi. Wakati wakiwa na msimu mzuri na rekodi nzuri kwenye Bundesliga Bayern hawatakuwa na kingine cha kufanya kwenye dimba la Allianz Arena Zaidi ya kuzisaka pointi tatu dhidi ya Bremen. Jumanne itahitimishwa na mchezo kati ya Bochum dhidi ya Monchengladbach. Meridianbet wameweka odds kubwa kuliko kawaida.

Napoli akiwa anaongoza Ligi ya Serie A atakuwa na kibarua kingine cha kuhakikisha anashinda ili kujiweka kwenye nafasi nzuri Zaidi, shughuli haikamiliki bila wageni eeh, mgeni wa Napoli atakuwa ni Empoli anayetoka mtaa wa 14 kwenye Serie A. Hawajasahaulika AC Milan wao watakuwa wageni wa Cremonese kwenye mchezo wa raundi ya 14. Beti sasa na Mabingwa.

 

Robert Lewandowski ataiongoza timu yake ya Barcelona kuzisaka alama tatu wakiwa ugenini dhidi ya Osasuna, huku Real Madrid akicheza na Cadiz, Sevilla atakipiga na Real Sociedad. Beti hapa na Meridianbet.

 

Jumatano itakuwa ni siku yenye matukio mengi ya soka, nikukumbushe tu, unaweza kutandika jamvi lako la uhakika ukiwa na Meridianbet, Simba SC atakuwa Singida, Yanga SC atakuwa Tunisia kucheza na Club Africain. Kwa USSD ni rahisi kushinda kwa dau dogo sana la TZS 250/= tena unabeti bure kabisa.

 

Haiishii hapo tu, Man City watawakaribisha Chelsea kwenye dimba lao la Etihad, City iliyotoka kufanya vizuri msimu huu kwa kuingiza faidia ya paundi Mil 41. Rahim Sterling atakutana na waajiri wake wa zamani, Je nani atacheka nan ani atanuna. Jukumu lako ni moja tu cheka na mkeka wako wenye odds bomba na kubwa. Beti hapa.

 

Arsenal baada ya kutoka kumtungua Chelsea kwenye EPL, sasa wanaamia kwenye Carabo Cup na moto wao au watapunguza makali dhidi ya Brighton, jibu lako kaliweke Meridianbet wana machaguo Zaidi ya 1000.

 

Liverpool wanakuja halafu kama wanakataa vile, lakini kwa mchezo wao dhidi ya Derby County unaweza ukafumba macho ukawapa dhamana ya furaha yako, lakini pia Derby huenda wakakufurahisha Zaidi. Chaguo ni lako sehemu ni moja tu, Meridianbet nyumba ya mabingwa.

 

Funga kazi ni pale kwenye dimba la Old Trafford wenyeji Manchester United watavaana na Aston Villa, Utd atakuwa na nafasi ya kujiuliza baada ya kupokea kipigo cha 3-1 kwenye Ligi dhidi ya Aston Villa sasa wanakutana tena kwenye Carabao. Mechi hii na nyingine zina odds kubwa usipime, beti na Meridianbet.

The post MAN CITY, CHELSEA KUKIWASHA WIKI HII KOMBE LA CARABAO…MAN U, ARSENAL KAZINI appeared first on Saleh Jembe.

The post MAN CITY, CHELSEA KUKIWASHA WIKI HII KOMBE LA CARABAO…MAN U, ARSENAL KAZINI appeared first on soka letu.

Via soka letu https://ift.tt/f89nJFg

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT