Skip to main content

Ten Hag Aaahidi Kumalizana na Ronaldo Baada ya Kuonesha Utovu wa Nidhamu




Ten Hag Aaahidi Kumalizana na Ronaldo Baada ya Kuonesha Utovu wa Nidhamu

Cristiano Ronaldo

KOCHA wa Manchester United Erik Ten Hag amesema atamalizana na mchezaji wake Cristiano Ronaldo baada ya kuonesha kitendo cha utovu wa nidhamu katika pambano dhidi ya Totenham Hotspurs lililomalizika kwa Manchester United kushinda kwa mabao 2-0.

Katika mchezo huo Ronaldo alionekana kuondoka uwanjani na Kwenda kwenye vyumba vya kubadilishia nguo ikiwa ni dakika 10 kabla ya mchezo kumalizika ikiwa ni ishara ya kuonesha kutoridhishwa na kukaa benchi.

Akijibu swali kwa mwandishi wa Habari wa Amazon Prime, Ten Hag alinukuliwa akisema:

“Alikuwepo pale, nilimuona lakini sikuongea naye.”

Erik Tem Hag

Huwa sitilii maanani vitu kama hivyo, ntalifanyia kazi hilo suala kesho (leo), nataka kila kitu kielekezwe kwenye timu.

Ronaldo amekuwa na tabia ya kutawala vichwa vya Habari vya mitandao ya kijamii pamoja na vyombo vya Habari kutokana na kuwa na baadhi ya matukio ambayo yanaonesha utovu wa nidhamu hasa nje ya uwanja kutokana na ukubwa wa jina lake.







Toa comment

The post Ten Hag Aaahidi Kumalizana na Ronaldo Baada ya Kuonesha Utovu wa Nidhamu appeared first on soka letu.



source https://mjombazecoder.website/57996/

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT