Skip to main content

Mzuka wa mechi zenye odds kubwa wiki hii uko hivi Meridianbet

Yule mtu aliyesema maisha bila soka hayaendi wala hakukosea, ni kweli kabisa mpira ni maisha na maisha ni mpira. Sasa kamata mzuka kamili wa mechi kali wiki hii, mzuka huu umepewa nguvu kubwa naMeridianbet kwa ODDS kubwa.

EPLitaendelea tena kwa michezo kadhaa, macho ya wengi yatakuwa kwenye game ya Chelsea atakaowakaribisha vijana na Eric Ten hag ambao wametoka kuwabagaza  Spurs kwa mabao 2-0 na mpira mwingi, ni Jumamosi hii na Meridianbet wamejipaga vizuri kwa kutoa Odds kubwa kwenye michezo ya wiki hii.

Baada ya kulala bila kufunga kwenye mechi dhidi ya Liverpool, Haaland atahitaji kuendeleza kasi yake ya ufungaji wa magoli kwenye kila mechi anayocheza, na sasa Man City atacheza na Brighton ambao wapo kwenye nafasi ya 8 katika msimamo. Bashiri na Meridianbet

Wale jamaa walioweka rekodi yao ya usajili wa wachezaji wengi zaidi kwenye epl msimu huu, Nottingham Forest watakuwa uwanjani kukipiga na vijana na Jurgen Klopp Liverpool ambao gari ni kama limewaka sasa, Nunez kaanza kufunga na kishazoea mazingira ya Uingereza. Unadhani ni Forest au Liverpool kuondoka na matokeo mazuri?.Meridianbet wanajibu swali hili kwa hela, bashiri sasa.

Kwenye Bundesliga Bayern mabingwa watetezi watakuwa ugenini kukipiga na Hoffenheim huku Dortmund watawakaribisha Stuttgart kule kwenye dimba lao la nyumbani Leverkusen watakipiga na Wolfsburg, wakati Augsburg watacheza na Leipzig.Mechi zote hizi zina Machaguo zaidi 1000+ kwenye Meridianbet

Real Madrid watakuwa na kibarua kingine wikiendi hii cha kujibu maswali ya Sevilla pale Santiago Bernabeu ambao watahitaji kuzipata alama tatu ili kusogea kwenye nafasi za juu zaidi mwa msimamo, Valencia watakipiga na Mallorca na Valladolid wakakuwa uwanjana dhidi ya Real Sociedad.

Jumapili nayo ni ya moto, mzuka utakuwa kwenye mechi Arsenal waliouanza msimu huu vizuri kweli, watakuwa ugenini dhidi ya Southampton, wakati Aston Villa waliotoka kuachana na kocha wao Gerrard  watakiwasha na Brentford, Spurs watakipiga na Newcastle, huku Barca watakuwa nyumbani kucheza na Athletic club, Roma na Napoli, Lille na Monaco hii ni Serie A wakati Atalanta watacheza na Lazio. Bashiri na Mabingwa

The post Mzuka wa mechi zenye odds kubwa wiki hii uko hivi Meridianbet appeared first on soka letu.



source https://mjombazecoder.website/58112/

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT