Skip to main content

Mechi za ushindi kwenye Meridianbet wiki hii

Ni muendelezo wa Ligi mbalimbali wikiendi hii, kwenye Epl Chelsea watarudi uwanjani kukipiga na Wolves siku ya Jumamosi kwenye dimba la Stamford Bridge, Chelsea wamekuwa na matokea mazuri kwenye mechi zao za nyuma, atakutana na Wolves aliyeshinda mechi moja tu kwenye Ligi. Weka utabiri wako na Meridianbet

Jini la kufunga mabao litakuwa uwanjani tena safari hii ni Man City dhidi ya Southampton, pale Ettihad wenyewe wanapaita machinjioni, Halaand ataendeleza rekodi yake ya kufunga au Soton watavunja mwiko? Meridianbet wameweka Odds kubwa kuwahi kutokea, Bashiri na Mabingwa.

Kule Bundesliga sasa, ni De Klassiker yaani watakutana wababe wa Ligi hiyo Dortumund watakuwa nyumbani kukipiga na Bayern Munich, unaambiwa hivi pindi wanapokutana hawa jamaa nyasi huwaka moto. Kuna mzigo mkubwa kwaajili yako, tandika jamvi lako.

Leverkusen atashuka dimbani kukiwasha na Schalke04, huku Mainz watawakaribisha Leipzig, na mechi nyingine ni kati ya Bochum watakipiga na Frankfurt.

Kwa Serie A ni mechi kubwa AC Milan aliyepo nafasi ya tano kwenye msimamo atakuwa nyumbani kutafuta ushindi dhidi ya Juventus waliopo nafasi ya 7, hii ni moja ya mechi yenye Odds Kubwa Meridianbet.

Kwingineo ni PSG atakuwa ugenini kucheza na Reims huku Real Madrid atawafuata Getafe na Sevilla atakuwa mwenyeji wa Athletic Club. Mechi hizi ni za Ushindi kama utabashiri na Meridianbet.

Jumapili moto ni ule ule kuna mechi inaweza kukupa utajiri kama utabashiri na Mabingwa, Vijana wa Arteta watakutana na Vijana wa Klopp, ni Arsenal dhidi ya Liverpool kwenye dimba la Emirates. Weka mkeka wako ushinde.

Manchester United baada ya kupigwa bao 6-3 na mahasimu wao Man City, watakuwa ugenini tena kuangalia namna ya kuzisaka pointi tatu dhidi ya Everton. Nawe unaweza kuzisaka pesa kirahisi ukiwa na Meridianbet.

Wikiendi yako itakamilika kwa michezo kati ya Crystal Palace na Leeds United, West Ham na Fulham, Napoli atakuwa ugenini kukipiga na Cremonese, na kubwa zaidi utamshuhudia Lewandowski na Barca yake kwenye dimba la Camp Nou dhidi ya Celta. Kamilisha wikiendi yako kwa kubashiri na Mabingwa, Tazama Odds za Michezo yote hapa.

 

NB, mbali na ubashiri wa Michezo una nafasi ya kushinda zaidi kwenye michezo ya kasino, furahia michezo ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, kujiweka kwenye nafasi bora ya kushinda kasino jackpoti.

The post Mechi za ushindi kwenye Meridianbet wiki hii appeared first on soka letu.



source https://mjombazecoder.website/56834/

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT