Kikosi cha Simba kinaingia kambini rasmi kesho Jumanne kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Primeira De Agosto ya Ango…
Kikosi cha Simba kinaingia kambini rasmi kesho Jumanne kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Primeira De Agosto ya Angola.
Huyu hapa Ahmed Ally akiweka wazi ratiba na mikakati yao huku akiwataja wachezaji ambao bado hali zao si shwari akiwemo Henock Inonga aliyekosa mchezo wa jana dhidi ya Dodoma Jiji.
The post Kikosi cha Simba kinaingia kambini rasmi kesho Jumanne kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Primeira De Agosto ya Ango… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/56599/

Comments
Post a Comment