Wekundu wa msimbazi @simbasctanzania, leo Jumapili watakuwa Dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Nyasa Big Bullets katika me…
Wekundu wa msimbazi @simbasctanzania, leo Jumapili watakuwa Dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Nyasa Big Bullets katika mechi ya marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mnyama ataingia katika mchezo huu akiwa na mtaji wa goli mbili alizopata ugenini.
Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 10:00 Jioni na kuruka LIVE #AzamSports1HD.
#SisiNiSoka #CAFCL #Azammaxweb #SokaLetuBamBam

The post Wekundu wa msimbazi @simbasctanzania, leo Jumapili watakuwa Dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Nyasa Big Bullets katika me… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/55284/
Comments
Post a Comment