UBABE UBABE 2: Mtwara ilizaliwa kutoka Lindi…. Je, mashabiki masumbwi mkoani Lindi wamejipangaje kwa ajili ya Usiku wa Ubabe Ub…
UBABE UBABE 2: Mtwara ilizaliwa kutoka Lindi…. Je, mashabiki masumbwi mkoani Lindi wamejipangaje kwa ajili ya Usiku wa Ubabe Ubabe?
Hawa hapa wakieleza jinsi walivyopitisha mchango wa usafiri huku wakiwa na matumaini ya ushindi kwa Twaha Kiduku “…ile ngumi ya kushoto ina kilo 45”
Ni kuelekea pambano kubwa la Kimataifa kati ya Mtanzania Twaha Kiduku dhidi ya Abdo Khaled kutoka Misri.
#ImeishaHiyo
Kama bado hujapata mzigo wako basi fahamu kuwa “Mzigo Umeshuka Kilo’, sasa unapata Kisimbuzi cha Antena “full set’ kwa shilingi 79,000/- pekee na Kisimbuzi bila antena ni shilingi 59,000/- pekee.
#ImeishaHiyo #UbabeUbabe2
#MzigoUmeshukaKilo #MtwaraImeishaHiyo
#MtwaraSeptemba24ImeishaHiyo
#NangwandaSijaonaMtwaraImeishaHiyo
#RoadToMtwara
#TwahaKiduku
@twaha_kiduku
@gilbertjohannes
@aidanmlimila
@Masoud_Lihenye
@musasaid1766
The post UBABE UBABE 2: Mtwara ilizaliwa kutoka Lindi…. Je, mashabiki masumbwi mkoani Lindi wamejipangaje kwa ajili ya Usiku wa Ubabe Ub… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/55442/

Comments
Post a Comment