UBABE UBABE 2: Je, nani atashinda kati ya Twaha Kiduku na Abdo Khaled? Sikiliza hapa madini kutoka kwa mtaalam Aidan Mlimila a…
UBABE UBABE 2: Je, nani atashinda kati ya Twaha Kiduku na Abdo Khaled?
Sikiliza hapa madini kutoka kwa mtaalam Aidan Mlimila ambaye anatoa dondoo chache kuhusu ubora na udhaifu wa kila bondia.
Mambo yote ni leo kuanzia saa 12:00 jioni LIVE #AzamSports1HD .
Kama bado hujapata mzigo wako basi fahamu kuwa “Mzigo Umeshuka Kilo’, sasa unapata Kisimbuzi cha Antena “full set’ kwa shilingi 79,000/- pekee na Kisimbuzi bila antena ni shilingi 59,000/- pekee.
#ImeishaHiyo #UbabeUbabe2
#MzigoUmeshukaKilo #MtwaraImeishaHiyo
#MtwaraSeptemba24ImeishaHiyo
#NangwandaSijaonaMtwaraImeishaHiyo
#RoadToMtwara
#TwahaKiduku
@twaha_kiduku
@gilbertjohannes
@aidanmlimila
@Masoud_Lihenye
@musasaid1766
@pj_mwandafwa
The post UBABE UBABE 2: Je, nani atashinda kati ya Twaha Kiduku na Abdo Khaled? Sikiliza hapa madini kutoka kwa mtaalam Aidan Mlimila a… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/55762/

Comments
Post a Comment