#SimbaSC: “Wanasimbaa….” ni sehemu ya maneno ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa timu ya Simba, Ahmed Ally alipokuwa akiende…
#SimbaSC: “Wanasimbaa….” ni sehemu ya maneno ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa timu ya Simba, Ahmed Ally alipokuwa akiendeleza hamasa kwa mashabiki wa timu hiyo kwenda uwanjani kwenye mchezo wao dhidi ya Nyasa Big Bullets Ligi ya Mabingwa Afrika.
Simba SC tayari wanamabao mawili dhidi ya mpinzani wao huyo ambayo waliyapata kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa Nchini Malawi.
#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika
The post #SimbaSC: “Wanasimbaa….” ni sehemu ya maneno ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa timu ya Simba, Ahmed Ally alipokuwa akiende… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/55127/

Comments
Post a Comment