LUGALO GOLF CLUB RASMI OKTOBA 1-2: Shindano la Lugalo Golf Club linatarajiwa kufanyika Oktoba 1 hadi 2 katika Viwanja vya Lugalo…
LUGALO GOLF CLUB RASMI OKTOBA 1-2:
Shindano la Lugalo Golf Club linatarajiwa kufanyika Oktoba 1 hadi 2 katika Viwanja vya Lugalo ikiwa ni sehemu ya kuazimisha kuzaliwa kwa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).
Katika upande mwingine Benki ya NMB imetoa Shilingi milioni ishirini na tano (25,000,000) kama sehemu ya udhamini wa mashindano hayo na mwendelezo wa kuunga mkono harakati za kuuboresha zaidi mchezo huo.
#LugaloGolfClub #NMB #Azamtvsports #Azammaxapp
The post LUGALO GOLF CLUB RASMI OKTOBA 1-2:
Shindano la Lugalo Golf Club linatarajiwa kufanyika Oktoba 1 hadi 2 katika Viwanja vya Lugalo… appeared first on soka letu.

Comments
Post a Comment