DONDOO ZA VITASA: Kutakuwa na pambano lingine kali likiwakutanisha warefu wawili. Hili ni kati ya Shaban Ndaro kutoka Arusha na…
DONDOO ZA VITASA: Kutakuwa na pambano lingine kali likiwakutanisha warefu wawili. Hili ni kati ya Shaban Ndaro kutoka Arusha na Selemani Galile wa Mtwara….
Lipo jambo tamu Zaidi kuhusu pambano hili kama inavyodondolewa hapa na Aidan Mlimila.
Ni kuelekea pambano kubwa la Kimataifa kati ya Mtanzania Twaha Kiduku dhidi ya Abdo Khaled kutoka Misri litakalofanyika Jumamosi Septemba 24 kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona.
Je, unasubiri nini kulipia Kisimbuzi chako?
Kama bado hujapata mzigo wako basi fahamu kuwa “Mzigo Umeshuka Kilo’, sasa unapata Kisimbuzi cha Antena “full set’ kwa shilingi 79,000/- pekee na Kisimbuzi bila antena ni shilingi 59,000/- pekee.
#ImeishaHiyo #UbabeUbabe2
#MzigoUmeshukaKilo #MtwaraImeishaHiyo
#MtwaraSeptemba24ImeishaHiyo
#NangwandaSijaonaMtwaraImeishaHiyo
#RoadToMtwara
#TwahaKiduku
@twaha_kiduku
@gilbertjohannes
@aidanmlimila
@Masoud_Lihenye
@musasaid1766
@pj_mwandafwa
@mpazi.j
The post DONDOO ZA VITASA: Kutakuwa na pambano lingine kali likiwakutanisha warefu wawili. Hili ni kati ya Shaban Ndaro kutoka Arusha na… appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/OqoDi6L
Comments
Post a Comment