DONDOO ZA VITASA: Je, unamjua Emilian Patrick ‘Polino’? Unajua kuwa hili litakuwa ndilo pambano lake la kwanza kubwa katika ngu…
DONDOO ZA VITASA: Je, unamjua Emilian Patrick ‘Polino’? Unajua kuwa hili litakuwa ndilo pambano lake la kwanza kubwa katika ngumi za kulipwa
Polino atakutana na mwenyeji wa shughuli, Osama Arabi na haya ni machache usiyoyajua kuhusu mabondia hawa kutoka kwa @aidanmlimila ambaye anatuonesha ni wapi utakapokuwa utamu wa pambano hili.
Ni kuelekea pambano kubwa la masumbwi la Kimataifa kati ya Mtanzania Twaha Kiduku dhidi ya Abdo Khaled kutoka Misri litakalofanyika Septemba 24, 2022 hapa Mtwara.
#ImeishaHiyo
Kama bado hujapata mzigo wako basi fahamu kuwa “Mzigo Umeshuka Kilo’, sasa unapata Kisimbuzi cha Antena “full set’ kwa shilingi 79,000/- pekee na Kisimbuzi bila antena ni shilingi 59,000/- pekee.
#ImeishaHiyo #UbabeUbabe2
#MzigoUmeshukaKilo #MtwaraImeishaHiyo
#MtwaraSeptemba24ImeishaHiyo
#NangwandaSijaonaMtwaraImeishaHiyo
#RoadToMtwara
#TwahaKiduku
@twaha_kiduku
@gilbertjohannes
@aidanmlimila
@Masoud_Lihenye
@musasaid1766
The post DONDOO ZA VITASA: Je, unamjua Emilian Patrick ‘Polino’? Unajua kuwa hili litakuwa ndilo pambano lake la kwanza kubwa katika ngu… appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/vApsPmO
Comments
Post a Comment