DEWJI ANAIMANI NA SIMBA SC LIGI YA MABINGWA: “Mzungu atatusaidia sana kwenye mechi za kimataifa” ni maneno ya Mfadhili wa zamani…
DEWJI ANAIMANI NA SIMBA SC LIGI YA MABINGWA: “Mzungu atatusaidia sana kwenye mechi za kimataifa” ni maneno ya Mfadhili wa zamani wa Klabu ya Simba, Azim Dewji alipokuwa akikizungumzia kikosi cha Simba SC kueleka mechi za hatua ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika.
Dewji ameeleza kwamba anaimani na mchezaji wa timu hiyo, Dejan Georgijevic kwenye mechi za kimataifa kuwa atakuwa msaada mkubwa.
#AzamSports1HD #CAFChampionsLeague #CAFCL #CCL #LigiYaMabingwaAfrika #SimbaSC #SisiNiSoka #SokaLetuBambam
The post DEWJI ANAIMANI NA SIMBA SC LIGI YA MABINGWA: “Mzungu atatusaidia sana kwenye mechi za kimataifa” ni maneno ya Mfadhili wa zamani… appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/U7JF0sQ
Comments
Post a Comment