“Atapigwa ngumi za tripu mchanga, tripu kokoto, kisha tunakwenda kumuweka kwenye jumba la Makumbusho hapa Mtwara” – Bondia Karim…
“Atapigwa ngumi za tripu mchanga, tripu kokoto, kisha tunakwenda kumuweka kwenye jumba la Makumbusho hapa Mtwara” – Bondia Karim Mandonga akimchimba mkwara Abdo Khaled kutoka Misri ambaye Jumamosi hii atapambana na Twaha Kiduku.
Hii ngoma ni Jumamosi Septemba 24 kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona.
Je, unasubiri nini kulipia Kisimbuzi chako?
Kama bado hujapata mzigo wako basi fahamu kuwa “Mzigo Umeshuka Kilo’, sasa unapata Kisimbuzi cha Antena “full set’ kwa shilingi 79,000/- pekee na Kisimbuzi bila antena ni shilingi 59,000/- pekee.
#ImeishaHiyo #UbabeUbabe2
#MzigoUmeshukaKilo #MtwaraImeishaHiyo
#MtwaraSeptemba24ImeishaHiyo
#NangwandaSijaonaMtwaraImeishaHiyo
#RoadToMtwara
#TwahaKiduku

The post “Atapigwa ngumi za tripu mchanga, tripu kokoto, kisha tunakwenda kumuweka kwenye jumba la Makumbusho hapa Mtwara” – Bondia Karim… appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/OqoDi6L
Comments
Post a Comment