Skip to main content

A-Z JINSI JONAS MKUDE ALIVYOHARIBU DILI LA AHADI YA MILIONI ISHIRINI KWA TZ PRISONS….UKWELI WOTE HUU HAPA….


Wekundu wa Msimbazi, Klabu ya Simba SC imeibuka na alama tatu katika mchezo mgumu mbele ya maafande wa Tanzania Prison Jijini Mbeya.

Mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara umepigwa jioni ya jana katika Uwanja wa Sokoine na Simba kuibuka na ushindi mwembamba wa goli 1-0.

Goli pekee la ushindi la Simba limefungwa na Kiungo Jonas Mkude dakika ya 86 akimaliza mpira wa kichwa uliopigwa na Kibu Denis.

Ushindi huo wa Simba unaifanya kusogea kileleni mwa msimamo wa Ligi wakiwa na alama 10 sawa na Yanga huku kila timu ikiwa na magoli 6.

Prison wamejikuta wakimaliza pungufu baada ya mchezaji wao mmoja kuoneshwa kadi nyekundu

Pamoja na kufungwa na Simba, Pia Prisons wamajikuta wakitiliwa mchanga kwenye ‘tongwa’ yao mara baada ya kujikuta wakikosa pia ahadi ya pesa zaidi ya milioni ishirini ambazo walihaidiwa na wadhamini wao wapya endapo wandepata matokeo.

Huku kwa upande wa Simba, ukiwa ni ushinidi muhimu zaidi kwao haswa Kocha Mgunda ambaye huu ni ushindi wake wa pili toka akabidhiwe kukaimu nafasi ya kocha mkuu.

The post A-Z JINSI JONAS MKUDE ALIVYOHARIBU DILI LA AHADI YA MILIONI ISHIRINI KWA TZ PRISONS….UKWELI WOTE HUU HAPA…. appeared first on soka letu.



source https://mjombazecoder.website/54933/

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT