Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa akizungumza na Karani wa Sensa ya Watu na…

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa akizungumza na Karani wa Sensa ya Watu na Makazi Spencia Rutalemwa wakati akihesabiwa nyumbani kwake kijiji cha Ahakishaka, Kata ya Nyabiyonza, wilaya ya Karagwe, Mkoani Kagera.
#StarTvUpdates

The post Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa akizungumza na Karani wa Sensa ya Watu na… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/49967/
Comments
Post a Comment