Show yako pendewa #Kijiwe ipo maskani ya Sinza ikikuletea mambo yote yanayofanywa na mashabiki wa Sinza Stars kabla ya kuelekea …

Show yako pendewa #Kijiwe ipo maskani ya Sinza ikikuletea mambo yote yanayofanywa na mashabiki wa Sinza Stars kabla ya kuelekea uwanjani.
Mashabiki wote wana Energy,vibe la kutosha vigoma vya as ili ndiyo kawaida yetu.
Msoma ramani wetu @fantasticgwamaka anatupitisha kila kona kupata ladha za mitaa ya Sinza.
Usiache kufatilia kipindi cha kijiwe kufahamu nini kilichojiri.
Ungana nasi @kanoga30
@fantasticgwamaka
@maganga_46 tukufikishe mpaka mwisho wa safari hii.
Kijiwe kila siku saa 1:30 usiku hapa @tv3tz kupitia kisimbuzi cha @startimestz CH 131 ANT na CH 197 kwa Dish
#kijiwe,#Tv3Tanzania, #GameOn,#Mara100Zaidi.
The post Show yako pendewa #Kijiwe ipo maskani ya Sinza ikikuletea mambo yote yanayofanywa na mashabiki wa Sinza Stars kabla ya kuelekea … appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/50202/
Comments
Post a Comment